
Mamia ya Wamorocco waandamana kupinga mapatano ya kuhuisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Mamia ya wananchi wa Morocco wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kupinga mapatano ya kuhuisha uhusiano na utawala wa Kizayuni. Morocco na utawala wa Kizayuni Disemba 22 mwaka 2020 chini ya usimamizi wa Marekani zilisaini mapatano ya kuanzisha tena uhusiano wa kawaida baina yazo. Mamia ya Wamorocco jana usiku waliandamana katika miji 30 ya…

Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina
Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina. Mahmoud Abbas amesema katika hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Nabii Isa Masiih (as) kwa mujibu wa imani ya Wakristo kwamba: “Leo tunakabiliana na vitendo vya wavamizi katika ardhi…

Baraza la mawaziri la Netanyahu na uwezekano wa kutokea Tsunami ya kisiasa na kiuchumi katika utawala wa Kizayuni
Vyombo vya habari vya Israel vilichapisha baadhi ya maelezo ya makubaliano yaliyofanywa na Waziri Mkuu Binyamin Netanyahu na vyama vya mrengo mkali wa kulia ili kuunda baraza la mawaziri la muungano. Kwa mujibu wa vyombo vya habari, maelezo ya mapatano ya kutia shaka ambayo Netanyahu aliyahitimisha akiwa na shakhsia wenye misimamo mikali na wenye utata…

Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina
Rais wa Chile, Gabriel Boric amesema nchi hiyo inapanga kufungua ubalozi wake huko Palestina kwa shabaha ya kuongeza kiwango cha uwakilishwaji wake rasmi katika taifa hilo linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel. Chile ndiyo nchi yenye idadi kubwa ya Wapalestina nje ya eneo la Asia Magharibi, na tamko hilo la Rais Boric…

Chile yaanzisha ubalozi nchini Palestina
Rais wa Chile, Gabriel Borich, alitangaza jana usiku kuwa nchi yake inapanga kuboresha ofisi yake ya mwakilishi wa kisiasa nchini Palestina hadi kufikia kiwango cha ubalozi. Kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la Al-Quds Al-Arabi la kimkoa siku ya Alkhamisi, Borich alieleza hayo katika hotuba yake katika sherehe za kuzaliwa Yesu Kristo, amani iwe juu…

Haniyeh: Kuuawa kishahidi kwa “Nasser Abu Hamid” katika magereza ya Israel ni ukiukaji wa haki za kibinadamu/Mgomo katika Ukingo wa Magharibi na Gaza.
Sambamba na mgomo wa kupinga kuuawa shahidi mmoja wa wafungwa wa Kipalestina, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina “Hamas” amelaani mauaji ya mfungwa huyo wa Kipalestina katika jela za utawala wa Kizayuni na kueleza kuwa mauaji hayo ni jinai mpya dhidi ya taifa la Palestina na jinai dhidi…

Wanajeshi watatu wa Kizayuni wajeruhiwa Negebu
Wanajeshi watatu wa utawala wa Kizayuni wamejeruhiwa katika operesheni ya kukimbizana na magari katika eneo la Negebu Vyanzo vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kuwa, askari watatu wa utawala huo wamejeruhiwa katika operesheni ya kuwakimbiza magari katika eneo la Negev, lililoko kusini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu. Wakati huo huo, vyombo vya habari vya…

Sheikh Qavuq: Netanyahu anahofia kukabiliana na Hizbullah
Mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kuwa, uhusiano kati ya Hizbullah na vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa vilivyoko kusini mwa Lebanon (UNIFIL) ni mzuri na msingi wake ni ushirikiano na uratibu unaoendelea. Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Ahed, Sheikh Nabil Qawoq, mjumbe wa Baraza Kuu la Hizbullah…