
UN: Wapalestina 19 wameuawa na wanajeshi wa Israel tangu Novemba 22
Umoja wa Mataifa unasema mwaka 2022 unasalia kuwa mwaka mbaya zaidi kwa Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi tangu 2005, huku katika kipindi cha mwezi mmoja Wapalestina 19 wakiuawa shahidi katika mashambulizi ya wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo. Ripoti ya kila wiki ya Ulinzi wa Raia iliyochapishwa…

Utawala wa Israel waogopa kuona bendera ya Palestina ikipeperushwa
Utawala wa Kizayuni umewakamata waandamanaji watatu waliokuwa wakipeperusha bendera za Palestina katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la Israel. Kubebwa na kupeperushwa bendera ya Palestina na watu wa nchi mbali mbali duniani katika Kombe la Soka la Dunia la 2022 huko Qatar ni jambo ambalo limeibua hofu na wasi wasi mkubwa…

Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus
Makundi ya muqawama ya Palestina yamelaani mauaji ya mandugu wawili wa Kipalestina katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni. Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesikitishwa na mauaji ya vijana hao wa Kipalestina yaliyofanywa na walowezi wa Kizayuni jana usiku mjini…

Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Saudi Arabia; kipaumbele cha Netanyahu katika sera zake za kigeni
Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel aliyepewa jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la Israel amegusia katika mahojiano aliyofanyiwa na Shirika Rasmi la Habari la Saudia kuhusiana na uhusiano wa Riyadh na Tel-Aviv. Netanyahu amewahi kuwa Waziri Mkuu wa utawala bandia wa Israel kuanzia 2009-2021 mtawalia na katika kipindi hicho alichukua…

Wapalestina elfu 70 waswali Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al -Aqsa
Zaidi ya Wapalestina elfu 70 jana waliswali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa al Aqsa. Katika siku za karibuni, msikiti wa al Aqsa umekabiliwa na hujuma na uvamizi wa walowezi wa Kiyahudi ambao waliingia kwenye msikiti huo makundi kwa makundi wakiungwa mkono na kusaidiwa na wanajeshi wa utawala wa Israel. Wazayuni hao wameshadidisha chokochoko na…

Israel kushirikiana na nchi tatu za Kiarabu katika kuunda “Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao”
Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na nchi tatu za Kiarabu za Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE), Bahrain na Morocco, zinapanga kuzindua mradi wa ulinzi wa anga unaoitwa Mtambo wa Kuba la Chuma la Mtandao, (Cyber Iron Dome). Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa maafisa wa utawala haramu wa Israel wamekutana na kufanya mazungumzo na…

Uturuki yawatia nguvuni makumi ya majasusi wa Mossad
Vyombo vya habari vya Uturuki viliripoti leo, Jumatano, kwamba taasisi za usalama za nchi hiyo zimewakamata watu 44 wanaofanya kazi kwa maslahi ya shirika la ujasusi la Israeli (MOSSAD). Gazeti la Uturuki “Sabah” limeripoti kwamba washukiwa hao wamekamatwa katika operesheni ya idara ya ujasusi ya Uturuki kwa ushirikiano na polisi wa Istanbul na Kitengo cha Kupambana…

Mbunge wa Kizayuni afichua: 2023 Saudia na Israel zitasaini mkataba wa kuanzisha uhusiano rasmi
Mbunge wa chama cha Likud katika Bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, kwa kuzingatia mazungumzo yaliyofanyika, inatarajiwa kuwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya utawala huo na Saudi Arabia yatasainiwa mwaka ujao wa 2023. Danny Danon, mbunge wa chama cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu, aliyekabidhiwa jukumu la kuunda baraza…