
Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa
Miaka 35 imepita tangu ilipoasisiwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Harakati hiyo ya mapambano iliundwa katika Ukanda wa Gaza tarehe 14 Desemba 1987 na Sheikh Ahmad Yasin na viongozi kadhaa wa Ikhwanul-Muslimin. Hamas ni moja ya makundi ya Palestina, ambayo baada ya kuasisiwa kwake, limetoa mchango mkubwa katika matukio ya nchi hiyo…

Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi
Kanali ya televisheni ya KiKA ya Ujerumani imemfuta kazi Matondo Castlo mwendeshaji wa kipindi cha watoto baada ya kushiriki katika maandamano ya amani katika mji wa Bait Dajan huko mashariki mwa mji wa Nablus. Uongozi wa Televisheni hiyo ya Ujerumani umemtuhumu Matondo kwamba, ana chuki na utawala wa Kizayuni. Magazeti ya Ujerumani yameandika taarifa kuhusu kushiriki…

Juhudi za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa za kutokomeza silaha za nyuklia za Israel
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeanza kuchukua hatua kwa lengo la kutokomeza silaha za atomiki za utawala haramu wa Israel baada ya nchi 149 wanachama wa umoja huo kuunga mkono azimio linaloutaka utawala huo wa Kizayuni “uache kufuatilia uzalishaji, uundaji, majaribio au kutaka kuwa na silaha za nyuklia” na “kuachana na mpango wa kumiliki…

Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco
Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewashambulia wananchi wa Palestina waliokuwa wamekusanyika kusherehekea ushindi wa Morocco katika mchuano wa robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea kushuhudiwa nchini Qatar. Shirika la habari la Shahab limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, askari polisi na wanajeshi makatili wa utawala haramu wa Israel jana…

Majeruhi wa Kizayuni waliweka rekodi katika mwaka wa 2022; Watu 31 wameuawa kwenye Ukingo wa Magharibi
Gazeti moja la Kiebrania limetangaza kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu, Wazayuni 31 wameuawa katika operesheni 300 za silaha katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Jumamosi hii, Disemba 10 gazeti la Kiebrania la “Yediot Aharanot” limechapisha ripoti kwamba walowezi 31 waliuawa wakati wa operesheni za muqawama wa Palestina dhidi ya vikosi vinavyoikalia kimabavu na…

Xi Jinping: China itaendelea kuunga mkono juhudi za Wapalestina
Rais Xi Jinping wa China amesema serikali ya Beijing inaunga mkono jitihada za taifa la Palestina zinazolenga kuhuisha haki za msingi za Wapalestina. Xi Jingping amesema hayo katika mazungumzo yake na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas huko Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, pambizoni mwa Kongamano la Kwanza la China na…

Serikali ya Jordan yaionya Israel kuhusiana na hujuma jinai zake dhidi ya Wapalestina
Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jordan imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kuendelea hujuma na mashambulio dhidi ya miji mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Taarifa ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jordan iliyotolewa leo imetoa mwito wa kukomeshwa uvamizi unaofanywa na utawala ghasibu wa Isarel dhidi…

Azimio la UN: Israel iachane na silaha za nyuklia, ijiunge na NPT
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeunga mkono kwa wingi mkubwa mno wa kura azimio la kuutaka utawala haramu wa Kizayuni wa Israel uachane na silaha zake za nyuklia na kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uundaji na Uenezaji Silaha za Nyuklia (NPT). Katika mkutano wa Baraza Kuu la UN, nchi 149 wanachama wa Umoja wa Mataifa…