
Ahadi ya Netanyahu kwa mungu wa Kizayuni ya kuandaa mazingira na uwanja wa kudhihiri kwa mwokozi wa Wayahudi
Netanyahu siyo mwanasiasa wa kawaida. Bali yeye sio hata kwa maana moja mkuu wa serikali hii iliyopita mipaka, kwa maana kwamba Naftali Bennett na Avigdor Lieberman ndio wanaofahamika kwa maana hii ya viongozi wa serikali. Ni dhahiri kuwa yeye ni mtu ambaye alitambulishwa na duru za madhehebu ya Kizayuni tangu umri mdogo na kiuhalisia walimtoa…

Ufaransa yaimarisha hatua za usalama kwa Wayahudi
Katika kipindi hiki ambapo nchi nyingi za Magharibi zinaendelea kuunga mkono utawala wa Kizayuni, Rais wa Ufaransa ameamuru kutumwa kwa askari 10,000 wa polisi ili kulinda maeneo ya Mayahudi nchini humo. “Gerald Darmanin”, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, huku akionya kuhusu ongezeko la vitendo vya hujuma dhidi ya Wayahudi katika nchi…

Njama ya pamoja ya Washington-Tel Aviv ya kuwaondoa Hamas mamlakani
Bloomberg ilifichua njama za utawala wa Kizayuni na Marekani za kutaka kuwaondoa Hamas madarakani na kupeleka vikosi vya kulinda amani huko Ghaza. Utawala wa Kizayuni kwa dhana ya kuangamiza harakati ya Hamas, umekuwa ukiendelea kuushambulia Ukanda wa Gaza kwa muda wa siku 26 na kuua maelfu ya Wapalestina, na hauko tayari kutoa wito wa kusitishwa…

Rabi wa Kiyahudi: Tunaomba kwa ajili ya kuangamia kwa Israeli
Rabi mmoja wa Marekani ambaye ni mwanachama wa harakati ya chuki dhidi ya Uzayuni anasema: Utawala wa Kizayuni ulianzisha serikali yake kwa kuwaibia Waarabu.Sisi Mayahudi wa kidini tunamuomba Mwenyezi Mungu kila siku kwa ajili ya mwisho wa haraka wa Israel. Rabi huyo wa Israel ajulikanaye kama David Weiss, ambaye ni mjumbe wa shirika la kimataifa…

Hamas yaonya kuhusu uhalifu mpya mjini Gaza
Harakati ya Hamas ilitangaza kuwa uwongo wa msemaji huyo wa adui Mzayuni ni ishara ya uamuzi wa utawala huo wa kufanya jinai nyingine dhidi ya Wapalestina, hali ambayo inaweza kuwa mbaya zaidi kuliko jinai ya hospitali ya al-Mu’amdani. Hamas ilisema: Zaidi ya Wapalestina 40,000 walikimbilia katika Hospitali ya al-Shafa. Tunatahadharisha kuhusu mauaji mapya na tunatoa…

Shambulio jengine la utawala wa Kizayuni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aleppo
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni umeushambulia tena Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Aleppo wa Syria alasiri ya leo na kuulenga kwa makombora mawili. Vyombo vya habari vya Syria viliripoti kuhusu shambulio jipya la anga la utawala wa Kizayuni katika barabara ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Aleppo. Kulingana na ripoti…

Idadi ya mashahidi wa Gaza yaongezeka na kufikia watu 6546
Kituo cha habari cha Al-Alam kilitangaza katika habari ya dharura kwamba idadi ya mashahidi huko Gaza imeongezeka na kufikia watu 6546. Al-Alam – Iliyoikalia kwa mabavu Palestina Kwa mujibu wa ripoti hii, idadi ya mashahidi huko Gaza imeongezeka na kufikia watu 6,546, huku Wizara ya Afya ya Palestina ikitangaza idadi ya mashahidi kuwa 6,055 asubuhi…

Mashambulizi ya Gaza hayabadili ramani ya Mashariki ya Kati; Upinzani ungali unavizia
Siku ya Jumatano, Marekani ilipinga mswada wa azimio la Baraza la Usalama la kuanzisha usitishaji vita wa kibinadamu huko Gaza. Madhumuni ya azimio hili yalikuwa ni kuhakikisha kuwasili kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza baada ya siku 11 za kuzingirwa kamili na kukata maji, umeme na dawa. Uchambuzi wa Habari; Zhang Jun, mwakilishi wa kudumu…