Uyahudi

Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel

Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel

Shirika la ndege la bei nafuu la Oman na Benki ya Kiislamu ya Kuwait zimeamua kujiondoa katika maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Anga ya Bahrain (BIAS) baada ya kubaini wajumbe kutoka makampuni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel watashiriki katika maonyesho hayo, ikiwa ni hatua ya kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Palestina. SalamAir,…

Utawala katili wa Kizayuni washambulia kwa makombora katikati ya Ukanda wa Gaza

Utawala katili wa Kizayuni washambulia kwa makombora katikati ya Ukanda wa Gaza

Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia kwa makombora zaidi ya kumi kituo cha wanamapambano wa Muqawama wa Palestina katikati ya Ukanda wa Gaza. Televisheni ya Aljazeera ya Qatar imeripoti kuwa, alfajiri ya kuamkia leo ndege za kivita za utawala wa kizayuni zimeshambulia kambi ya al Maghaazi iliyoko katikati ya Ukanda…

Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni

Qatar yataka kuhitimishwa ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni

Mwakilishi wa Kudumu wa Qatar katika Umoja wa Mataifa leo asubuhi amehutubia katika kikao cha kiduru cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusema: Israel inapasa kuhitimisha hatua zake za kuzikalia kwa mabavu ardhi za Waarabu ikiwemo miinuko ya Golan huko Syria, ardhi za Lebanon na Palestina. Bi Alia Al Thani Mwakilishi wa…

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yasisitiza kuunga mkono haki za Wapalestina

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu yasisitiza kuunga mkono haki za Wapalestina

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuendelea kutetea na kuuunga mkono haki za wananchi madhulumu wa Palestina. Taarifa ya OIC iliyotolewa leo kwa mnasaba wa kutimia miaka 105 tangu kutolewa  Azimio la Balfour imesisitiza kuwa, jumuiya hiyo itaendelea kuunga mkono mapambano ya kiadilifu ya wananchi wa Palestina yenye lengo la kupigania haki zao za kitaifa….

Iran yakosoa misimamo ya Baraza la Usalama la UN kuhusu uhalifu wa Israel

Iran yakosoa misimamo ya Baraza la Usalama la UN kuhusu uhalifu wa Israel

Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa: Mwelekeo wa sasa na usio na tija wa Baraza la Usalama la Uumoja huo unaupa moyo na kuuhamasisha utawala wa Kizayuni katika kadhia ya Palestina. Amir Saeed Iravani amesema katika kikao cha Baraza la…

Watu 6 katika timu ya magaidi watenda jinai katika Haramu takatifu ya Shah Cheragh watiwa nguvuni

Watu 6 katika timu ya magaidi watenda jinai katika Haramu takatifu ya Shah Cheragh watiwa nguvuni

Wizara ya Intelijinsia ya Iran imetangaza kuwa, imewatambua na kuwatia nguvuni watu sita katika timu ya usaidizi ya magaidi watenda jinai dhidi ya Haram takatifu ya Ahmad bin Musa (as) huko katika mji wa Shiraz. Watu 15 wakiwemo watoto wawili waliuliwa shahidi na wengine 30 kujeruhiwa baada ya gaidi mmoja kuwashambulia kwa risasi Jumatano iliyopita…

Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina

Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao mara mbili asubuhi na jioni kujadili matukio mapya yanayojiri Palestina. Hata kama kikao hicho hakikufikia mwafaka unaoeleweka, lakini kilitoa fursa kwa nchi mbalimbali kubainisha mitazamo yao, ambayo kwa ujumla imedhihirisha jinsi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unavyokiuka misingi na sheria za kimataifa pamoja na maazimio…

Mageuzi ya Bin Salman huko Saudi Arabia ni ya uongo na bandia

Mageuzi ya Bin Salman huko Saudi Arabia ni ya uongo na bandia

“Rima bint Bandar Al Saud”, balozi wa Saudi Arabia nchini Marekani, alitangaza karibuni katika mahojiano na CNN, kwamba mageuzi ya Saudi Arabia ni ya kweli na kwamba ufalme huo umechukua hatua katika miaka mitano iliyopita ambayo ilikuwa haijafanyika katika miaka 80 iliyopita Katika kujibu matamshi hayo, Shirika la Haki za Kibinadamu la Ulaya-Saudia limetaja mageuzi…