Uyahudi

Syria: Tunataka uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa, jinai za Israel zidhibitiwe

Syria: Tunataka uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa, jinai za Israel zidhibitiwe

Kwa mnasaba wa Siku ya Umoja wa Mataifa, Serikali ya Syria imetoa wito na kusisitiza ulazima wa kuundwa mfumo mpya wa kimataifa na kuzuiwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na jinai zinazofanywa na utawala huo haramu. Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Al-Akhbariya; Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa…

Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon

Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon

Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo. Sheikh Nabil Qaouk, Naibu Mkuu wa…

Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu

Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu

Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa, kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu kumefanikiwa kwa mwafaka na baraka za Saudi Arabia. Benjamin Netanyahu amesema: “Jambo la kwanza ninalopaswa kukiri ni kwamba Saudi Arabia ilianza kutekeleza mpango wa kuanzishwa uhusiano baina ya Israel na nchi za…

Yemen yalaani ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Israel

Yemen yalaani ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Israel

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Yemen amelaani ugaidi wa kiserikali unavyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa lisilo na ulinzi la Palestina. Mji wa Nablus unaendelea kuzingirwa na jeshi la utawala haramu wa Israel kwa siku ya 15 mfululizo, na zaidi ya hayo, idadi kubwa ya raia wamekamatwa katika maeneo tofauti ya Ukingo…

Mbunge wa Bunge la Ulaya: Marekani na Israel zinaunga mkono ugaidi

Mbunge wa Bunge la Ulaya: Marekani na Israel zinaunga mkono ugaidi

Mick Wallace, Mwakilishi wa Ireland katika Bunge la Ulaya amekosoa vikali sera za Marekani na utawala ghasibu wa Israel na kuzitaja kuwa waungaji mkono wa ugaidi. Mbunge huyo wa Bunge la Ulaya amelaani mauaji ya kizazi ya Saudi Arabia na Imarati huko nchini Yemen na kutangaza kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinaunga…

Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina

Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina. Mahakama za utawala wa Kizayuni zinawakamata na kuwaweka kizuizini Wapalestina kwa sababu tofauti na kwa madai mbalimbali hewa na ya uwongo. Kwa mujibu…

MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran. Maajenti wa shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni Mossad walipanga kuripua kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan, lakini walikamatwa na wizara ya…

Utawala wa Kizayuni wakasirishwa na Australia kubadilisha msimamo wake kuhusu Baitul Muqaddas

Utawala wa Kizayuni wakasirishwa na Australia kubadilisha msimamo wake kuhusu Baitul Muqaddas

Viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamesema wamekasirishwa na hatua ya serikali mpya ya Australia ya kufuta uamuzi wa serikali iliyopita wa kuitambua Baitul Muqaddas (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala huo ghasibu. Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia Penny Wong alitangaza Jumanne kwamba serikali ya Australia itafuta uamuzi wa baraza la…