Uyahudi

Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu

Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu

Baadhi ya duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, licha ya jeshi la Israel kuvamia kila siku na mara kwa mara maeneo ya Wapalestina na licha ya kufanya ukatili mkubwa dhidi ya Wapalestina lakini limeshindwa kuzuia operesheni za wanamuqawama na wanamapambano wa Kiislamu. Shirika la habari la Kizayuni la “Walla” limewanukuu baadhi ya maafisa wa kijeshi wa…

Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala huo ghasibu. Taarifa iliyotolewa na Harakati ya Jihadul-Islami imepongeza operesheni ya kimuqawama ya Wapalestina katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan iliyopelekea kujeruhiwa wanajeshi saba wa Israel na kueleza kwamba,…

Wananchi wa Morocco waandamana kulaani Israel baada ya balozi wake kukabiliwa na kashfa ya ngono

Wananchi wa Morocco waandamana kulaani Israel baada ya balozi wake kukabiliwa na kashfa ya ngono

Mamia ya wananchi wa Morocco wameandamana kulaani utovu wa kimaadili wa balozi wa utawala haramu wa Israel mjini Rabat ambaye anakabiliwa na kashfa ya ngono. Waandamanaji wenye hasira wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisikika wakipiga nara dhidi ya utawala haramu wa Israel na kutoa mwito wa kufanyika uchunguzi kuhusiana na kashfa ya ngono inayomkabili balozi…

Taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; mzongano usiozongoka wa uzushaji tuhuma dhidi ya Iran

Taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; mzongano usiozongoka wa uzushaji tuhuma dhidi ya Iran

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani taarifa ya hivi karibuni ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ya ile inayojiita kamati ya pande nne na kusisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa na Iran kuhusiana na visiwa vyake vitatu zinalenga kulinda mamlaka ya kujitawala ardhi yote ya taifa…

Hamas: Mauaji ya raia wa Kipalestina yanaonesha sura mbaya ya Israel

Hamas: Mauaji ya raia wa Kipalestina yanaonesha sura mbaya ya Israel

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, mauaji yanayofanywa kwa makusudi na askari wa Israel dhidi ya raia wa Kipalestina yanaonyesha sura mbaya ya wavamizi hao wanaoikalia Palestina kwa mabavu. Katika mahojiano yake na kituo cha redio cha Saut al-Aqsa, Fouzi Barhoum ameongeza kuwa, matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa…

Baraza la Wanazuoni Wataalamu: Palestina ndio kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu

Baraza la Wanazuoni Wataalamu: Palestina ndio kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu

Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kusimamia kazi zake limesisitiza kuwa, Palestina ndio kadhia ya kwanza katika ulimwengu wa Kiislamu kama ilivyo pia suala la Beitul-Muqaddas. Sisitizo hilo limo katika taarifa ya mwisho ya mkutano wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya…

Mazoezi ya vikosi vya nchi kavu vya jeshi; maonyesho ya nguvu na uwezo wa Iran ya Kiislamu

Mazoezi ya vikosi vya nchi kavu vya jeshi; maonyesho ya nguvu na uwezo wa Iran ya Kiislamu

Mazoezi ya Uwezo 1401 ya jeshi la Iran yanafanyika kwa muda wa siku mbili kwa lengo la kutathmini na kuboresha kiwango cha nguvu na utayari wa kupambana wa Jkikosi cha Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na vitisho tarajiwa. Mazoezi hayo yalianza jana Jumatano kwa kushirikisha askari wa miguu, drone,…

Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetangaza kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Halab ni jinai za kivita na kwamba, Damascus itatumia haki yake ya kisheria kwa ajili ya kujibu jinai za utawala huo. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imeeleza kwamba, mashambulio…