Kuendelea mwenendo wa Uturuki wa kufufua uhusiano wake na Israel
Baada ya miaka 15, sasa ndege za utawala haramu wa Israel zinaweza kufanya safari nchini Uturuki. Yair Lapid, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ametangaza habari ya kupasishwa hati ya makubaliano ya mahusiano ya safari za ndege baina ya Uturuki na utawala huo. Amesema hayo katika kikao cha hivi karibuni cha Baraza la Mawaziri…
Kamanda wa Majeshi ya Iran aonya jeshi la kigaidi la Marekani na Israel
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri ametoa onyo kali na kusema ushirikiano wa jeshi la kigaidi la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na waitifaki wao waliowapa vituo vya kijeshi ni tishio kwa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Katika ujumbe, Meja Jenerali…
HAMAS: Utawala wa Kizayuni lazima uadhibiwe kwa kumuua Abu Akleh
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amezungumzia ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni baada ya utawala huo katili kumuua shahidi mwandishi Mpalestina, Shireen Abu Akleh na ametaka utawala huo dhalimu upewe adhabu kali. Shirika la habari la Anadolu limemnukuu Hazem Qassem akisema hayo na kuongeza kuwa, uchunguzi uliofanywa na jeshi…
Operesheni za kupambana na jinai za Wazayuni zimeongezeka sana 2022
Operesheni za kupambana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimeongezeka sana mwaka huu wa 2022. Hayo yametangazwa na shirika la habari la Shahab ambalo limeongeza kuwa, zaidi ya opereseheni 7,200 za muqawama wa wananchi wa Palestina zimeshafanyika katika Ukingozo wa Magharibi wa Mto Jordan tangu mwanzoni…
Wanajeshi wa Israel wamuua kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi
Vikosi vya kijeshi vya utawala ghasibu wa Israel vimempiga risasi na kumuua shahidi kijana mwingine wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo siku ya Jumatatu. Mpalestina huyo aliyekuwa na umri wa miaka 19 alipigwa risasi na kuuawa na jeshi la Israel wakati wa uvamizi mapema Jumatatu huko Qabatiya, kusini mwa…
Kununuliwa ardhi kwa ajili ya Wazayuni; juhudi za kuyahudishwa Manama
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya al-Wifah nchini Bahrain amesema kuna mpango wa siri unaotekelezwa kwa lengo la kuanzisha mtaa wa Mayahudi katika sehemu kongwe ya Manama, mji mkuu wa Bahrain. Tangu mwaka 2020, Bahrain imeanzisha uhusiano wa wazi wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel unaokalia kwa mabavu Quds Tukufu, na uhusiano huo umekuwa…
Msafara wa baharini wa Lebanon waelekea mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu kulinda maliasili zake
Msafara wa majini wa Lebanon umeanza safari yake ya kuelekea mpaka wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa lengo la kulinda utajiri wa nchi hiyo wa maliasili za mafuta na gesi dhidi ya uporaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim, msafara wa majini wa Lebanon ambao uliandaliwa…
Mkuu wa zamani wa jeshi la Kizayuni: Israel haiwezi kuishambulia kijeshi Iran
Mkuu wa zamani wa majeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shaul Mofaz amesema, Wairani ni watu werevu sana na wanao uwezo wa kuhakikisha wanapata haki zao za kinyukilia; na akakiri kwa kusema, Tel Aviv haina uwezo wa kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya Tehran. Mofaz ameyasema hayo katika mahojiano na Kanali 12 ya…