Uyahudi

Maombi na swala ya asubuhi katika siku ya pili ya Eid al-Adha kwa ushiriki wa maelfu ya Wapalestina.

Maombi na swala ya asubuhi katika siku ya pili ya Eid al-Adha kwa ushiriki wa maelfu ya Wapalestina.

Maelfu ya waumini wa Kipalestina walifanya sala ya asubuhi katika siku ya pili ya Eid al-Adha, licha ya vizuizi vya wavamizi na vizuizi vikubwa karibu na mji mkongwe na mji wa Jerusalem unaokaliwa kwa mabavu. Maelfu ya watu walishiriki katika sala ya asubuhi katika siku ya pili ya Eid al-Adha kuitikia wito wa makundi ya…

Mkanganyiko wa Wazayuni katika habari ya uwezekano wa kupatikana makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani

Mkanganyiko wa Wazayuni katika habari ya uwezekano wa kupatikana makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani

Kufuatia kuchapishwa kwa ripoti inayodaiwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni kuhusiana na uwezekano wa kutiwa saini makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na Marekani, Waziri wa Vita wa utawala huu ghasibu, katika kujaribu kuweka vizuizi katika kuzuia uwezekano wa kufikia makubaliano aina yoyote katika suala hili; alisema kuwa Alhamisi hii atazungumza na…

Urushaji wa makombora kutoka kwenye Ufukwe wa Magharibi; Tafsiri ya jinamizi la Wazayuni

Urushaji wa makombora kutoka kwenye Ufukwe wa Magharibi; Tafsiri ya jinamizi la Wazayuni

Licha ya kwamba Tel Aviv ilijikita katika kuzuia kuhamishwa kwa uzoefu wa utengenezaji wa roketi kutoka Gaza au Lebanon hadi Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, takriban wiki mbili zilizopita roketi ilirushwa kutoka katika Ukingo wa Magharibi kuelekea makazi ya Wazayuni na kufasiri jinamizi la Wazayuni. Vyombo vya habari vya Kizayuni viliripoti wasiwasi uliokithiri wa…

Kanani: Harakati za kieneo za utawala wa Kizayuni hazijafichika kutokana na jicho kali la Iran

Kanani: Harakati za kieneo za utawala wa Kizayuni hazijafichika kutokana na jicho kali la Iran

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni aliandika: “Kiota cha buibui hakiwezi kutegemewa na mapambano ya kupanua uwepo wa kikanda hayatasaidia kurejesha msingi wa ndani wa utawala huo bandia.” Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni, Nasser Kanani, aliandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa: Hakuna harakati yoyote ya kieneo ya utawala wa Kizayuni iliyobaki…

Nasrallah: Vita Vikuu vitapelekea kuangamia kwa Israeli / Sehemu ya Lebanon ingali chini ya adui

Nasrallah: Vita Vikuu vitapelekea kuangamia kwa Israeli / Sehemu ya Lebanon ingali chini ya adui

Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbollah ametoa hotuba Alkhamisi hii jioni kwa mnasaba wa mnasaba wa kukombolewa Lebanon inayojulikana kwa jina la Iddi ya Mapambano na Ukombozi na kwa mara nyingine amesema kuwa, vita na adui Mzayuni bado havijaisha. Seyyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ametoa hotuba Alhamisi hii jioni kwa mnasaba…

Hasira za utawala wa Kizayuni dhidi ya serikali za Kiarabu katika kikao maalumu cha baraza la mawaziri la Netanyahu

Hasira za utawala wa Kizayuni dhidi ya serikali za Kiarabu katika kikao maalumu cha baraza la mawaziri la Netanyahu

Kurejea kwa Bashar al-Assad katika mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kumeleta hasira na kutamaushwa kwa maafisa wakuu wa utawala wa Kizayuni. Kwa mujibu wa gazeti la Yediot Ahronot, wakati huo huo Rais Bashar Assad wa Syria alipojitokeza tena miongoni mwa viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, vyombo vya habari vya…

Vyombo vya habari vya Israeli: Roketi za Hizbullah zimeiba usingizi kutoka kwa macho ya Tel Aviv

Vyombo vya habari vya Israeli: Roketi za Hizbullah zimeiba usingizi kutoka kwa macho ya Tel Aviv

Vyombo vya habari vya Israel vilivyoangazia habari za zoezi hilo la Hezbollah hapo jana, vilikiri kwamba walikuwa waangalizi wa kufichuliwa kwa makombora ya uhakika ya Hezbollah, ambayo yaliinyima usingizi Tel Aviv. Jumapili iliyopita ya tarehe 21 Mei, zoezi la kiishara la Hizbullah ya Lebanon kusini mwa nchi hiyo kwa mnasaba wa kumbukumbu ya ukombozi wa…