Uyahudi

Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Saudi Arabia ya kuufungulia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mipaka ya anga yake ni sawa na kuwa mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala huo na ni usaliti kwa umma wa Kiislamu. Siku ya Alkhamisi iliyopita, utawala wa Kizayuni ulipitisha vipengele viwili vya makubaliano yanayohusiana na visiwa viwili vya…

Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni

Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amelitaja shambulio la ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza kuwa ni kilele cha uungaji mkono wa Washington kwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala huo. Ni baada ya ndege za kivita za Israel kushambulia kambi ya wanamapambano wa Wapalestina huko…

Balozi wa Palestina aitaka jumuiya ya kimataifa kuilaani Israel

Balozi wa Palestina aitaka jumuiya ya kimataifa kuilaani Israel

Haya ni maneno ya Balozi wa Palestina nchini Tanzania akiitaka Jumuiya ya kimataifa ilaani vitendo vya utawala haramu wa Israel kama inavyolaani vitendo vya Russia huko Ukraine, Dar es Salaam. Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali ameitaka jumuiya ya kimataifa kulaani vitendo vya Israel kukiuka makubaliano na Palestina kama ambavyo wamekuwa wakilaani uvamizi wa…

Iran: Israel ndio mzizi wa ugaidi na ukosefu wa usalama Asia Magharibi

Iran: Israel ndio mzizi wa ugaidi na ukosefu wa usalama Asia Magharibi

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio chimbuko la vitendo vya kigaidi na ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo hili la Asia Magharibi. Naser Kan’ani alisema hayo jana Jumanne na kuongeza kuwa, hatua ya Marekani kuukingia kifua na kuunga mkono utawala…

Maseneta waitaka serikali ya Biden kuwajibika kuhusu uchunguzi wa mauaji ya Shireen

Maseneta waitaka serikali ya Biden kuwajibika kuhusu uchunguzi wa mauaji ya Shireen

Maseneta wa chama cha Democratic cha Marekani wameitaka serikali ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kuwajibika kuhusu uchunguzi unaohusu mauaji ya mwandishi wa habari wa Palestina wa televisheni ya Al Jazeera, Shireen Abu Akleh. Ni baada ya Umoja wa Mataifa kumesema kuwa taarifa ulizokusanya zinaonesha kuwa, Shireen Abu Akleh, mwandishi wa habari wa televisheni ya…

MAREKANI, TANZANIA KIWAKILISHI CHA ‘DUNIA’ MBILI KATI YA TATU ZINAZOKIDHANA KUHUSU ISRAEL

MAREKANI, TANZANIA KIWAKILISHI CHA ‘DUNIA’ MBILI KATI YA TATU ZINAZOKIDHANA KUHUSU ISRAEL

Uchambuzi wa Kisiasa kuhusu Uhusiano wa Tanzania na Israel. MAPEMA wiki iliyopita na wiki hii dunia imeshuhudia historia ikiwekwa kwa husiano za kidiplomasia linapokuja Taifa la Israel baada ya Tanzania na Marekani kwa nyakati hizo mbili tofauti kufungua balozi mpya katika Taifa hilo la Mashariki ya Kati. Wakati Tanzania ikifungua ubalozi mara ya kwanza nchini…

Sugu, Zitto wafunguka safari za Magufuli, uhusiano wa Tanzania kimataifa

Sugu, Zitto wafunguka safari za Magufuli, uhusiano wa Tanzania kimataifa

Wabunge hawa ni moja wapo wa Wanasiasa wa Tanzania waliopinga  na kukerwa na kuanzishwa upya kwa uhusiano wa Tanzania na Utawala haramu wa Israel. Dodoma. Safari chache za nje ya nchi zilizofanywa na Rais John Magufuli tangu aingie madarakani na uhusiano wa kimataifa wa Tanzania na nchi kadhaa, ni baadhi ya mambo yaliyogusa mjadala wa…

Hamas: Kuchomwa wakiwa hai wanajeshi wa Misri na utawala wa Israel kunadhihirisha dhati ya ukatili

Hamas: Kuchomwa wakiwa hai wanajeshi wa Misri na utawala wa Israel kunadhihirisha dhati ya ukatili

Ikitoa radiamali yake kwa habari kuhusu kuchomwa wakiwa hai makumi ya wanajeshi wa Misri katika vita vya mwaka 1967; Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) imesema kitendo hicho kinadhihirisha dhati ya ukatili na kutenda jinai ya utawala wa Kizayuni. Gazeti la Yediot Aharanoth wiki hii lilifichua kuwa, utawala wa Kizayuni baada ya kupita zaidi ya miaka…