Uyahudi

Mgongano kati ya demokrasia na utambulisho wa Israeli

Mgongano kati ya demokrasia na utambulisho wa Israeli

Israeli iliundwa kwa misingi ya dini ya Kiyahudi. Uyahudi ukiwa na unwani wa taifa na pia vilevile kama dini ulikuwa msingi wa mfumo wa kisiasa wa Israeli, lakini uwepo wa tamaduni na dini zingine kama vile dini ya Kiislamu iliyokua ya Waarabu ulipinga wazo la serikali ya Kiyahudi ya kwamba je, mfumo wa kisiasa wa…

Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina Ukingo wa Magharibi mida ya usiku

Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina Ukingo wa Magharibi mida ya usiku

Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamefanya hujuma na mashambulio dhidi ya nyumba za Wapalestina katika kitongoji cha al-Laban kusini mwa mji wa Nablos kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Hujuma na mashambulio hayo ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina ambapo walikuwa wakisaidiwa na kupata himaya ya jeshi la utawala…

Idadi ya wanajeshi watoro yaongezeka katika jeshi la Israeli

Idadi ya wanajeshi watoro yaongezeka katika jeshi la Israeli

Miongoni mwa habari za Israel zimeripoti kuwa idadi ya askari wanaotoroka jeshi la utawala huo inaongezeka kadri siku zinavyokwenda.   Tovuti ya lugha ya Kiebrania ya “Walla” imeripoti kuwa, mwaka huu wa 2021 pekee idadi ya askari wa Isael wanaozungumza lugha y Kiarabu waliotoroka kutokana na kubaguliwa na vilevile wanajeshi wa kawaida wanaotoroka huduma za…

Iran Yalaani Mashambulizi ya Israel dhidi ya Latakia ya Syria

Iran Yalaani Mashambulizi ya Israel dhidi ya Latakia ya Syria

TEHRAN (FNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesikitishwa na mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya maghala ya chakula na dawa huko Latakia ya Syria, na kuutaja utawala wa Kizayuni kuwa chanzo cha ukosefu wa utulivu katika eneo hilo. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Saeed Khatibzadeh mnamo Jumatano…

Kwa nini Marekani inaisaidia israeli?

Kwa nini Marekani inaisaidia israeli?

Hivi karibuni mbunge wa chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani mwenye asili ya Somalia, Ilhan Omari aliomba radhi baada ya kutoa matamshi yaliyotafsiriwa na watu wengi kuwa ni ya chuki dhidi ya Wayahudi. Mwakilishi huyo alihusisha kamati ya masuala ya umma ya Marekani na Israel (AIPAC) kuwa inatumia pesa kuwahonga wanasiasa wa…

UTATA MASHARIKI YA KATI: Tahadhari yatolewa kwa Tanzania mgogoro wa Marekani, Iran

UTATA MASHARIKI YA KATI: Tahadhari yatolewa kwa Tanzania mgogoro wa Marekani, Iran

Mzozo huo umetokana na mpango wa nchi ya Iran wa kuzalisha nyuklia ikisema ni kwa ajili ya umeme, huku Marekani ikidai kuwa nchi hiyo ina mpango wa siri wa kutengeneza silaha za nyuklia. Kutokana na hofu hiyo, nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na China zilikubaliana kuiwekea vikwazo Iran iwapo itaendelea na mpango huo.Mwaka 2015…

VITA VYA SIKU SITA: Marekani yakumbana na Urusi vita vya Israel

VITA VYA SIKU SITA: Marekani yakumbana na Urusi vita vya Israel

Katika toleo lililopita tulisimulia jinsi Serikali ya Marekani ilivyopata habari kuwa vita imezuka katika Mashariki ya Kati ikiwahusisha Israel na baadhi ya mataifa ya Kiarabu, ilianza kufuatilia kwa karibu kila habari iliyotoka Mashariki ya Kati. Waliokutana kujadili kwa kina vita hivyo ni Rais wa Marekani, Lyndon Johnson (1963–1969); mshauri wake wa masuala ya usalama, Walt…