Uyahudi

Makubaliano kati ya Tehran na Riyadh yapunguza mipango yakikhabithi ya Tel Aviv na chuki ya Amerika dhidi ya Iran

Makubaliano kati ya Tehran na Riyadh yapunguza mipango yakikhabithi ya Tel Aviv na chuki ya Amerika dhidi ya Iran

Wataalamu wa masuala ya Mashariki ya Kati wanaamini kuwa, kuhuishwa uhusiano kati ya Iran na Saudi Arabia kumelifikisha eneo hili katika sura mpya ya kimataifa, ambayo imesababisha kudorora kwa mahesabu ya Washington na kufeli kwa mipango ya Wazayuni na Wamarekani. Watafiti wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa kwa kuunga mkono makubaliano kati ya Iran na…

Onyo jipya la rais wa utawala wa Kizayuni kuhusu uwezekano wa kusambaratika utawala huo kutokea ndani.

Onyo jipya la rais wa utawala wa Kizayuni kuhusu uwezekano wa kusambaratika utawala huo kutokea ndani.

Kufuatia mgogoro wa ndani wa utawala haramu wa Israel na kuzuka hitilafu kali ambazo zimechochewa na mpango wa mageuzi ya mahakama, Rais Isaac Herzog wa utawala huo kwa mara nyingine tena ameonya dhidi ya uwezekano mkubwa wa kusambaratika utawala huo wa kibaguzi. Isaac Herzog ameeleza kuwa, ana wasiwasi mkubwa juu ya kile kinachoendelea katika ardhi…

Maandamano ya Wasudan ya kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

Maandamano ya Wasudan ya kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

Jumapili ya juzi tarehe 5 Februari wananchi wa Sudan waliandamana katika mji mkuu Khartoum kwa shabaha ya kupinga hatua ya utawala wa kijeshi nchini humo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Waandamanaji hao sambamba na kulaani safari ya siku ya Alhamisi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala haramu wa…

Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni

Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni. Ijumaa iliyopita kijana wa Kipalestina aliyejulikana kwa jina la “Khairi Alqam, 21, aliwashambulia Wazayuni katika kitongoji cha…

Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita

Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita

Chombo kimoja cha Kizayuni kimetangaza kuwa makundi ya muqawama ya Palestina yametekeleza oparesheni 57 dhidi ya Israel katika saa 24 zilizopita. Kabla ya hapo Wapalestina walikuwa wakipambana na Wazayuni huko kusini mwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na katika Ukanda wa  Ghaza, lakini  hivi sasa eneo la Ukingo wa Magharibi huko mashariki mwa Palestina limeguzwa na…

Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano

Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza kuwa, jinai za utawala haramu wa Israel katika mji wa Jenin ni ishara ya wazi ya kugonga mwamba juhudi na mipango ya utawala huo katili ya kupenya katika mataifa ya Kiislamu kupitia tawala zilizofanya usaliti. Taarifa ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen  mbali na kulaani jinai…

Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin

Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin

Makundi ya muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina yamepongeza operesheni ya kulipiza kisasi karibu na sinagogi katika makazi haramu ya walowezi wa Kizayuni kwenye eneo la al- Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na Israel, na kueleza kuwa oparesheni hiyo ni ‘jibu la moja kwa moja’ kwa uvamizi mbaya zaidi wa kijeshi wa Israel…

Hamas: Kutiwa nguvuni wanamuqawama kunakofanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kuihudumia Israel

Hamas: Kutiwa nguvuni wanamuqawama kunakofanywa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kuihudumia Israel

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa radiamali kufuatia hatua ya idara za usalama za Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwatia nguvuni wanamuqawama na wanachama wa harakati hiyo katika Ukingo wa Magharibi na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni sawa na kuuhudumia utawala wa Kizayuni. Uratibu wa masuala ya usalama umeanzishwa kati ya…