Uzayuni

Historia ya mahusiano ya Afrika na Israel

Historia ya mahusiano ya Afrika na Israel

Huku taifa la Israeli likifikisha miaka 70, panda shuka ya uhusiano wake na nchi za Afrika katika miongo kadhaa iliyopita. Hivi majuzi, serikali ya Israeli imeonyesha nia mpya katika bara hilo. Mwishoni mwa miaka ya 1950, Israeli ilikuwa taifa changa lililoibuka wakati huo huo nchi kadhaa za Kiafrika zikipata uhuru kutoka kwa watawala wao wa…

Mashirika ya Afrika Mashariki yaonya kua Magaidi wanalenga maslahi ya ki Israeli

Mashirika ya Afrika Mashariki yaonya kua Magaidi wanalenga maslahi ya ki Israeli

Vyombo vya usalama vinahofia kwamba makundi ya kigaidi yanalenga maslahi ya Israeli katika eneo hilo kutokana na mzozo wa Gaza, ambao umeyafanya makundi ya wapiganaji kuwa na huruma na Hamas. Maafisa wa usalama wanaohudhuria mkutano huko Entebbe pamoja na wabunge wa kamati za ulinzi na usalama za mabunge husika walisema kutokana na mzozo wa Mashariki…

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Harakati ya Hamas  imekaribisha kauli ya “Umoja wa Afrika” kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza. Kwa mujibu wa shirika la habari la Palestina “Shahab”, katika taarifa ya harakati ya Hamas, imeeleza: Sisi katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) tunakaribisha taarifa ya mwisho ya Mkutano wa 37 wa Umoja wa…

Juhudi za hivi punde za Washington za kusitisha mapigano huko Gaza kabla ya Ramadhani

Juhudi za hivi punde za Washington za kusitisha mapigano huko Gaza kabla ya Ramadhani

Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuhusu juhudi za Marekani kwa ajili ya kufikia makubaliano kati ya Utawala wa Kizayuni na harakati ya Hamas ili kuhitimisha makubaliano ya kubadilishana wafungwa kabla ya mwezi wa Ramadhani na kuandika kuwa “uwezekano wa makubaliano sio mkubwa. .” “Mkurugenzi wa CIA William Burns anaweza kuja katika eneo hilo katika…

Kuelewa Msimamo wa Tanzania Kuhusu Mgogoro kati ya Israel na Palestina

Kuelewa Msimamo wa Tanzania Kuhusu Mgogoro kati ya Israel na Palestina

Wakati sera yake ya kutofungamana na upande wowote kwa ajili ya kulinda masilahi yake ya kitaifa na kiuchumi, uungaji mkono wa Tanzania kwa suluhisho la serikali mbili unaonyesha kutambua kwake hitaji la ushirikiano na utatuzi wa migogoro. Mapigano ya Israel na Hamas yaliyoanza Oktoba 7, 2023, yamegawanya maoni ya Watanzania wengi. Wengine wakiunga mkono Israeli…

Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza

Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza

Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa kibaguzi wa Israel amekiri kuhusu hasara kubwa liliyopata jeshi la utawala huo katika vita vya Gaza na kusema, Wazayuni hawajawahi kukabiliwa na vita kama hivyo kwa muda wa miaka 75 iliyopita. Siku ya Jumatano, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni alikiri kuhusu hasara kubwa ya jeshi…

Makubaliano ya karne na athari zake katika uhusiano kati ya Afrika na utawala wa Kizayuni

Makubaliano ya karne na athari zake katika uhusiano kati ya Afrika na utawala wa Kizayuni

Mkutano wa 33 wa Umoja wa Afrika (20 na 21 Februari 2019) wenye kauli mbiu “kuzima bunduki, kuweka mazingira mazuri kwa maendeleo ya Afrika” kwa lengo la kupunguza mivutano barani Afrika na kufikia maendeleo katika bara hili, ilifanyika Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, ilimalizika wakati wakuu wa umoja huu wakitangaza mshikamano wao kamili na…

Kabla ya kujichoma moto… Rubani Bushnell alifuchua: “Majeshi ya Marekani yanashiriki katika mauaji ya halaiki huko Palestina”

Kabla ya kujichoma moto… Rubani Bushnell alifuchua: “Majeshi ya Marekani yanashiriki katika mauaji ya halaiki huko Palestina”

Gazeti la New York Post limechapisha maelezo mapya kuhusu mwanajeshi wa Jeshi la Anga la Marekani, Aaron Bushnell ambaye alijichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington akipinga mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel dhidii ya watu wa Gaza, na kumnukuu rafiki yake akisema kwamba Bushnell alimwambia ameona taarifa za siri zinazoonyesha ushiriki wa…