Uzayuni

Matatizo ya kiakili ya wanajeshi elfu 30 wa Kizayuni katika vita vya Gaza

Matatizo ya kiakili ya wanajeshi elfu 30 wa Kizayuni katika vita vya Gaza

Jeshi la Kizayuni limefichua kuwa, wanajeshi 30,000 wa Israel wamechunguzwa na kutibiwa matatizo ya kiakili yaliyosababishwa na kushiriki katika vita dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza. Ripoti ya jeshi la Israel kuhusiana na suala hilo inaashiria kuwa kati ya wanajeshi hao 1730 wamekabidhiwa kwa taasisi husika baada ya kukutana na afisa wa afya ya…

Israel yafungua vituo viwili vya biashara Afrika Magharibi na Mashariki

Israel yafungua vituo viwili vya biashara Afrika Magharibi na Mashariki

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza kuundwa kwa vituo viwili vya biashara katika Afrika Magharibi na Mashariki ili kuongeza biashara kati ya nchi yake na bara hilo. Wanaunda sehemu ya ushirikiano alioutoa katika Mkutano wa 51 wa Wakuu wa Nchi wa ECOWAS katika mji mkuu wa Liberia Monrovia siku ya Jumapili. “Ninaamini katika kuimarisha…

Aliyejichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel ni mwanajeshi wa Marekani

Aliyejichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel ni mwanajeshi wa Marekani

Mwanajeshi wa zamani wa Marekani alijichoma moto mbele ya ubalozi wa Israel mjini Washington kupinga vita vya Gaza, video iliyochapishwa ya tukio hili ina matukio ya kuhuzunisha. Kwa mujibu wa Kituo cha Habari cha Palestina, afisa wa zamani wa Jeshi la Anga la Marekani alijichoma moto mbele ya ubalozi huo mjini Washington akilalamikia vita dhidi…

Israel Yatafuta urafiki wa Kibiashara katika ukanda wa Afrika Mashariki

Israel Yatafuta urafiki wa Kibiashara katika ukanda wa Afrika Mashariki

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alianza safari yake ya nchi nne Afrika Mashariki nchini Uganda Julai 4 kabla ya kuelekea Kenya, Rwanda na Ethiopia. Ilikuwa ni ziara ya kwanza kwa waziri mkuu wa Israel aliyeketi katika eneo hilo tangu mwaka 1987. Katika jitihada za kuimarisha uhusiano wa Israel na Afrika Mashariki, waziri mkuu huyo…

Kenya inahofia mashambulizi ya muonekano wake kuhusu msimamo wake katika vita vya Israel na Hamas

Kenya inahofia mashambulizi ya muonekano wake kuhusu msimamo wake katika vita vya Israel na Hamas

Polisi Waonya kua; Al-Shabaab wanaweza kufanya mashambulizi kama alama ya mshikamano na Hamas ili kubakisha umuhimu wake. Kenya imeonya juu ya hatari kwamba vikundi kama vile Al-Shabaab vinaweza kufanya mashambulizi ya “mshikamano” baada ya mlipuko wa ghasia kati ya Israel na Hamas. Nchi hiyo ya Afrika Mashariki imekumbwa na mashambulizi kadhaa ya umwagaji damu yaliyotekelezwa…

Mashambulizi makubwa ya mabomu ya Rafah wakati huo huo mazungumzo ya Cairo yakiendelea

Mashambulizi makubwa ya mabomu ya Rafah wakati huo huo mazungumzo ya Cairo yakiendelea

Jeshi linalokalia kwa mabavu la Israel liliharibu kabisa msikiti na nyumba zilizokua katika maeneo hayo kwa kuongeza mashambulizi ya anga na mizinga katika mji wa Rafah. Mji wa Rafah, ambao ni kimbilio la mwisho la wakimbizi milioni 1.7 wa Gaza, uko chini ya mashambulizi makali zaidi ya anga na mizinga katika muda wa saa 24…

Je, Afrika Mashariki ina msimamo gani kuhusu vita vya Israel na Hamas? Mtaalam anafunua maoni ya Kenya, Tanzania, na Uganda.

Je, Afrika Mashariki ina msimamo gani kuhusu vita vya Israel na Hamas? Mtaalam anafunua maoni ya Kenya, Tanzania, na Uganda.

Katika picha: Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu walitia saini makubaliano mjini Jerusalem mwaka 2016. Mwitikio wa baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kwa mzozo unaoendelea huko Gaza umekuwa mdogo kuliko wa Afrika Kusini. Bunge la Afrika Kusini limepitisha azimio la kufunga ubalozi wake mjini Tel Aviv….

Afisa Mzayuni: Ukweli ni kwamba, Hatuwezi kukabiliana na mashambulizi ya Hizbullah

Afisa Mzayuni: Ukweli ni kwamba, Hatuwezi kukabiliana na mashambulizi ya Hizbullah

Mkuu wa baraza la kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Margaliot ambaye hivi karibuni aliliomba jeshi la Israel liharibu miji ya mpakani ya Lebanon, amekiri kwamba, mashambulio ya harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ni makali mno kiasi kwamba hawawezi tena kuingia na kutoka kwa urahisi katika mji huo na kitu pekee wanachoweza kufanya ni kujificha….