Uzayuni

Kiongozi wa Mapinduzi ya Afrika: Wazayuni wanamalengo ya kuvunja uhusiano wa kihistoria kati ya Afrika na Palestina

Kiongozi wa Mapinduzi ya Afrika: Wazayuni wanamalengo ya kuvunja uhusiano wa kihistoria kati ya Afrika na Palestina

Kiongozi wa mapinduzi dhidi ya Uzayuni wa Afrika amesema: Wazayuni wanataka kuvunja uhusiano wa kihistoria kati ya Waafrika, nchi za Kiarabu na Palestina. Kami Saba akiwa katika mkutano na waandishi wa habari juu ya mada ya mapambano ya Afrika dhidi ya ukoloni na upinzani wa Gaza dhidi ya adui wa kawaida, uliofanyika katika ukumbi wa…

Shambulio dhidi ya ngome ya utawala wa Kizayuni huko Eritrea/afisa wa Kizayuni auawa

Shambulio dhidi ya ngome ya utawala wa Kizayuni huko Eritrea/afisa wa Kizayuni auawa

Vyanzo vya kuaminika vya kijeshi vimeiambia idhaa hii ya habari ya Lebanon kwamba kambi ya kijeshi ya Israel huko Eritrea, iliyoko Afrika Mashariki, imeshambuliwa. Duru hizi zimesema kuwa, wanajeshi hao wa Kizayuni walilengwa na mashambulizi ya silaha katika kambi ya Dahlak ya Eritrea. Kulingana na ripoti hii, shambulio hili lililenga sehemu ya juu kabisa ya…

Wazayuni wanataka nini barani Afrika?/ Kuanzia uporaji wa maliasili hadi upanuzi wa mradi wa uhalalishaji

Wazayuni wanataka nini barani Afrika?/ Kuanzia uporaji wa maliasili hadi upanuzi wa mradi wa uhalalishaji

Bara la Afrika lina ukweli tofauti kabisa na ulimwengu unaona kutoka kwa bara hili kutokana na rasilimali zake kubwa za asili na watu, na nchi za Kiafrika zinaweza kuwa na nafasi nzuri zaidi ulimwenguni kutokana na utajiri wao mkubwa wa asili. Wakati bara la Afrika likitoa zaidi ya asilimia 65 ya almasi duniani, lakini kutokana…

Maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni katika yapamba moto nchini Afrika Kusini

Maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni katika yapamba moto nchini Afrika Kusini

Maelfu ya watu kutoka Johannesburg nchini Afrika Kusini walipiga nara dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni wa Ghaza kwa kufanya maandamano makubwa siku ya Jumamosi. Maelfu ya wakaazi wa mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini walikusanyika mbele ya ubalozi mdogo wa Marekani katika mji huo Jumamosi na kutoa nara dhidi ya utawala wa Kizayuni….

Shambulio la kombora la wanamapinduzi nchini Iraq katikati mwa utawala wa Kizayuni

Shambulio la kombora la wanamapinduzi nchini Iraq katikati mwa utawala wa Kizayuni

Muqawama wa Iraq ulitangaza siku chache zilizopita kwamba ulishambulia shabaha muhimu katikati mwa utawala wa Kizayuni kwa kombora lenye uwezo wa hali ya juu la masafa marefu. Kanali ya habari ya al-Nujba imeunukuu muqawama wa Iraq na kuripoti kwamba shambulio hili lilitekelezwa kwa kombora la “Al-Arqeb” ambalo ni kombora lenye uwezo wa hali ya juu…

Tofauti zazidi kupamba moto nchini Israeli, Je Netanyahu ataondoka ?

Tofauti zazidi kupamba moto nchini Israeli, Je Netanyahu ataondoka ?

Huku mifarakano ikizidi kupamba moto katika muhimili mkuu wa kisiasa na wa kijeshi wa utawala ghasibu wa Israel kutokana na ukosefu wa mazingatio kwa baraza la mawaziri la muungano wake kuhusu suala la kusitisha vita vya Ghaza, viongozi wengi wa kisiasa na wa kijeshi wa utawala huo ghasibu wanamaoni kuwa Netanyahu ataanguka hivi karibuni. “Tunapaswa…

Uwepo wa Utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Afrika Mashariki – Kenya

Uwepo wa Utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Afrika Mashariki – Kenya

Athari za utawala wa Kizayuni katika bara la Afrika hususan katika nchi za Kiislamu za bara hili ni suala ambalo linaukabili ulimwengu wa Kiislamu wenye changamoto katika kipindi kirefu. Wazayuni wanafuata hatua za uongozi katika maeneo hayo, kwa kuzidisha ushawishi wa kijeshi na wa kiuchumi hadi kusababisha mgawanyiko katika ardhi hizi za Kiislamu katika bara…

Kuongezeka kwa tofauti kati ya viongozi wa Tel Aviv/ Gantz ashiriki katika maandamano dhidi ya Netanyahu

Kuongezeka kwa tofauti kati ya viongozi wa Tel Aviv/ Gantz ashiriki katika maandamano dhidi ya Netanyahu

Huku mashambulizi yasiyo na tija ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza yakiendelea na kushindwa kufikia malengo yaliyotangazwa hapo awali na utawala huo, ni dhahiri kwamba hitilafu baina ya viongozi wa Tel Aviv zinaendelea kushadidi. Gazeti la Al Jazeera limeripoti kuwa, Benny Gantz, ambaye ni mjumbe wa baraza la mawaziri la vita la…