Uzayuni

Swala ya Isha na Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa usiku wa tarehe 21 Ramadhani

Swala ya Isha na Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa usiku wa tarehe 21 Ramadhani

Makumi ya maelfu ya Wapalestina wanaendelea kufanya ibada na itikaf katika Msikiti wa Al-Aqsa katika Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu licha ya vizuizi vinavyopo, vilivyowekwa na vikosi vya kizayuni. Vyanzo vya habari vya ndani vilitangaza kuwa raia wa Palestina walifungua mfungo wao baada ya Swala ya Maghrib katika viwanja vya Msikiti wa Al-Aqswa na kuswali Isha…

Simu ya Amir Abdullahian na Bin Farhan na hali ya kukata tamaa ya Wazayuni

Simu ya Amir Abdullahian na Bin Farhan na hali ya kukata tamaa ya Wazayuni

Mawasiliano ya simu ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na mwenzake wa Saudia na mapitio ya matukio ya hivi punde kuhusiana na makubaliano kati ya nchi hizo mbili na kuandaa mkutano wa pande hizo mbili katika mwezi wa Ramadhani. Ni msisitizo maradufu katika azma ya nchi hizo mbili ya kutekeleza makubaliano hayo ya…

Netanyahu amtoa kazini Waziri wa Vita

Netanyahu amtoa kazini Waziri wa Vita

Leo (Jumapili) Waziri Mkuu wa utawala unaoukalia kwa mabavu wa Kizayuni amemfukuza kazi waziri wa vita wa baraza lake la mawaziri. Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni alimfuta kazi Yoaf Gallant, Waziri wa Vita wa utawala huo. Kwa mujibu wa habari, ukosoaji wa Gallant dhidi ya mpango wa marekebisho ya mahakama wa Netanyahu…

Wanajeshi 2 wa Kizayuni wapigwa risasi mjini Nablus

Wanajeshi 2 wa Kizayuni wapigwa risasi mjini Nablus

Operesheni ya ufyatuaji risasi katika eneo la Hawara kusini mwa Nablus katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ilisababisha kujeruhiwa kwa wanajeshi 2 wa Kizayuni. Kwa mujibu wa ripoti, wanajeshi 2 wa Israel wamejeruhiwa katika operesheni ya ufyatuaji risasi hii leo (Jumamosi) katika eneo la Hawara kusini mwa Nablus lililoko katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa…

Maafisa wa Jeshi la Wanamaji wa Israel waliifunga barabara inayoelekea bandari ya Ashdod

Maafisa wa Jeshi la Wanamaji wa Israel waliifunga barabara inayoelekea bandari ya Ashdod

Maafisa kadhaa wa jeshi la wanamaji wanaopinga mpango wa Netanyahu wa kudhoofisha mahakama walifunga barabara inayoelekea kwenye bandari ya Ashdod. Vyombo vya habari vya Kizayuni viliripoti kuendelea kwa maandamano katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu dhidi ya muswada wa “mageuzi ya mahakama” ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na kutangaza kuwa leo (Alhamisi, Machi 23), wahitimu wa…

Jeshi la utawala wa Kizayuni lakiri juu ya matumizi mabaya ya mtandao katika vita vya Ghaza

Jeshi la utawala wa Kizayuni lakiri juu ya matumizi mabaya ya mtandao katika vita vya Ghaza

Vita vya utawala wa Kizayuni na wakaazi wa Gaza mwaka 2021 vimezua kashfa mpya kwa jeshi la utawala huo. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Associated Press, siku chache baada ya kuanza vita vikali vya utawala wa Kizayuni na wakaazi wa Ghaza mwaka 2021, jeshi la utawala huo ghasibu limeanza kupeleka askari wake katika…

Palestina yaitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kumkamata waziri wa fedha wa Israel

Palestina yaitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kumkamata waziri wa fedha wa Israel

Katika kujibu kauli ya waziri wa fedha wa Israel kwamba “hakuna kitu kama taifa la Palestina,” Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina ilitoa wito kwa Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu kumtia mbaroni. Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina ilitangaza siku ya Jumatatu kuwa itaiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kumkamata, kujibu kauli ya…

Saudi Arabia imelaani kauli za Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni kuhusu Palestina

Saudi Arabia imelaani kauli za Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni kuhusu Palestina

Katika taarifa yake siku ya Jumanne, Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imelaani matamshi ya matusi na ya kibaguzi yaliyotolewa na Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Saudi Arabia imesema kuwa kuita matamshi yaliyo kinyume na ukweli kueneza matamshi ya chuki na…