Mkuu wa utawala wa Kizayuni: Israel inatarajiwa kulipuka wakati wowote mithili ya pipa la baruti
Katika hotuba yake mkuu wa utawala wa Kizayuni alitahadharisha juu ya kuibuka vita vya wenyewe kwa wenyewe katika utawala huo na kusema kuwa, hali hiyo ni sawa na mlopuko wa pipa la baruti. “Ishaq Herzog”, Mkuu wa utawala wa Kizayuni katika mahojiano ya televisheni Jumapili jioni alieleza wasiwasi mkubwa kuhusu hitilafu za ndani na kusambaratika…
Kijana wa Kipalestina auwawa Shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni mjini Jenin
Raia huyo wa Palestina aliuawa shahidi kutokana na kukithiri kwa majeraha aliyoyapata katika mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni katika kambi ya Jenin. Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ilitangaza kuwa, raia mmoja wa Palestina aliuawa shahidi wakati wa mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni katika kambi ya Jenin iliyoko kaskazini…
Maandamano ya Wasudan ya kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Jumapili ya juzi tarehe 5 Februari wananchi wa Sudan waliandamana katika mji mkuu Khartoum kwa shabaha ya kupinga hatua ya utawala wa kijeshi nchini humo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Waandamanaji hao sambamba na kulaani safari ya siku ya Alhamisi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala haramu wa…
Ujumbe wa hadharani wa Kizayuni mjini Riyadh wa kuunga mkono uhalalishaji !
Youssef Al-Awsi, mmoja wa wanaharakati mashuhuri wa Saudia ameandika kwenye Twitter kwamba ujumbe wa Kizayuni utashiriki rasmi katika kongamano la LEAP23 mjini Riyadh ili kuunga mkono kuhalalisha hali ya kawaida kati ya utawala wa Kizayuni na Saudi Arabia. Tweet ya Al-Awsi ilisema: “Kongamano kubwa la LEAP23 litafanyika Riyadh wiki ijayo, na makampuni ya Israel yatakuwepo…
Netanyahu: Amani yetu na Saudi Arabia inategemea viongozi wa Saudi Arabia
Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wa Kizayuni ameeleza kuwa, amani na Saudi Arabia inategemea uongozi wake na kudai kuwa, kujiweka sawa kwa Riyadh na Tel Aviv kutamaliza mzozo baina ya Waarabu na wavamizi. “Benyamin Netanyahu,” Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, alikiri kuhusu amani na Saudi Arabia kwamba mchakato huu utamaliza mzozo kati ya…
Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni. Ijumaa iliyopita kijana wa Kipalestina aliyejulikana kwa jina la “Khairi Alqam, 21, aliwashambulia Wazayuni katika kitongoji cha…
Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita
Chombo kimoja cha Kizayuni kimetangaza kuwa makundi ya muqawama ya Palestina yametekeleza oparesheni 57 dhidi ya Israel katika saa 24 zilizopita. Kabla ya hapo Wapalestina walikuwa wakipambana na Wazayuni huko kusini mwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na katika Ukanda wa Ghaza, lakini hivi sasa eneo la Ukingo wa Magharibi huko mashariki mwa Palestina limeguzwa na…
Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza kuwa, jinai za utawala haramu wa Israel katika mji wa Jenin ni ishara ya wazi ya kugonga mwamba juhudi na mipango ya utawala huo katili ya kupenya katika mataifa ya Kiislamu kupitia tawala zilizofanya usaliti. Taarifa ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen mbali na kulaani jinai…