Kukalia kuti kavu baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu
Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamiin Netanyahu halijafikisha hata muda wa mwezi mmoja ambapo tayari linakabiliwa na hatari ya kusambaratika. Serikali ya Netanyahu inakabiliwa na matatizo mawili makuu na ya kimsingi ambayo yameifanya ikabiliwe na hatari ya kusambaratika. Tatizo la kwanza ni maandamano makubwa na ya mapema ya wananchi…
Balozi mwingine wa Israel ajiuzulu kulalamikia serikali ya misimamo ya kufurutu mpaka ya Netanyahu
Baada ya kujiuzulu balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Ufaransa, balozi wa utawala huo nchini Canada naye pia amejiuzulu wadhifa wake kulalamikia baraza la mawaziri lenye misimamo ya kufurutu ada linaloongozwa na Benjamin Netanyahu na kumuunga mkono waziri mkuu wa zamani Yair Lapid ambaye ni kiongozi wa wapinzani wa Netanyahu. Gazeti la kizayuni…
ICJ yapokea rasmi ombi la UN juu ya kughusubiwa ardhi za Wapalestina na Israel
Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imepokea rasmi ombi la Umoja wa Mataifa la kutaka maoni ya ushauri kutoka kwa chombo hicho juu ya taathira za Israel kughusubu na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina. ICJ inatazamiwa kuandaa orodha ya mataifa na mashirika ambayo yatawasilisha taarifa za maandishi kwenye mahakama hiyo iliyoko mjini Hague nchini…
Kiwewe cha nchi za Ulaya kwa nafasi ya kudhamini usalama ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema katika mazungumzo ya simu aliyofanya na mwenzake wa Uswisi Tobias Billström kwamba, nchi za Ulaya zina deni la malipo ya shukrani kwa juhudi kubwa za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kupambana na ugaidi na akabainisha kwamba: Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya…
Wajordan wakusanyika mbele ya ubalozi wa Israel kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa
Makumi ya wananchi wa Jordan wamekusanyika mbele ya ubalozi wa utawala haramu wa Israel mjini Amman ambapo sambamba na kuulaani jinai za utawala haramu wa Israel wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa msikiti wa al-Aqswa. Waandamanaji hao wakiwemo wajumbe wa vyama mbalimbali vya siasa na wanaharakati wa asasi na jumuiya mbalimbali za kiraia wamesisitiza…
Kufutwa kazi Waziri wa Mambo ya Ndani katika baraza la mawaziri la Netanyahu
Licha ya Mahakama Kuu ya utawala wa Kizayuni kubatilisha uamuzi wa Aryeh Deri kuwa Waziri wa Afya na wa Masuala ya Ndani wa utawala huo kutokana na rekodi yake mbaya ya uhalifu; vyombo vya habari vya utawala wa Israel vimetangaza kuwa Benjamin Netanyahu amemuuzulu waziri huo. Baraza jipya la Mawaziri la Benjamin Netanyahu tayari limeanza…
Je, Mwanamfalme wa Saudia anaogopa nini kutangaza hadharani uhalalishaji wa mahusiano na Wazayuni?
Baraza la mawaziri la Netanyahu liko mbioni kutangaza kuhalalisha mahusiano yake na Saudi Arabia, lakini Riyadh hadi sasa imeshughulikia suala hili kwa fimbo. Kwa kuundwa baraza la mawaziri la Netanyahu, inaonekana utawala wa Kizayuni uko mbioni kuharakisha kwa uwazi kuurejesha uhusiano na Riyadh baada ya maendeleo makubwa ya uhalalishaji usio rasmi na Wasaudi hususan kuwepo…
Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqsa katika muendelezo wa uchochezi
Makumi ya walowezi Waisraeli wamevamia eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, katika hatua nyingine ya uchochezi dhidi ya waumini Waislamu wa Kipalestina. Walioshuhudia wanasema kwamba uvamizi wa walowezi hao wenye itikadi kali ulifanyika chini ya ulinzi mkali kutoka kwa wanajeshi wa utawala ghasibu wa…