Januari 19; Siku ya Ghaza ni Kielelezo cha Mapambano ya Kiislamu
Januari 19 inatambuliwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni “Siku ya Ghaza” kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza (Gaza) huko Palestina Utawala ghasibu wa Kizayuni unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu Disemba 27 mwaka 2008 ulianzisha vita dhidi ya…
Uungaji mkono kwa taifa madhulumu la Palestina washamiri Amerika ya Latini katika mji mkuu wa Colombia
Baraza la Manispaa la Bogotá, mji mkuu wa Jamhuri ya Colombia, limebadilisha jina la moja ya mitaa muhimu ya jiji hilo kuuita “Mtaa wa Nchi ya Palestina”. Pamoja na kwamba Marekani na Uingereza zikiwa ndio waungaji mkono wa jadi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinajaribu kuficha jinai za utawala huo bandia kutokana na…
Ripoti: Marekani inasafirisha makombora hadi Ukraine kutoka kwenye maghala ya Israel
Ripoti mpya inasema Marekani inatuma kimya kimya mamia kwa maelfu ya makombora ya mizinga nchini Ukraine kutoka kwenye maghala inayodai ni yake ya dharura yaliyo katika utawala wa Kizayuni wa Israel huku vita vikiendleea kati ya Russia na taifa hilo la zamani la Shirikisho la Sovieti. Gazeti la New York Times, likinukuu maafisa wa Marekani…
Kuongezeka idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina mwaka 2022
Vyombo vya habari vya Kiibrania vimetangaza karibuni kwamba idadi ya Wazayuni waliokimbia kutoka ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu mwaka uliopita wa 2022 kutokana na mapambano makali ya Waplestina dhidi ya askari vamizi wa utawala wa Israel iliongezeka sana. Katika miaka iliyopita Wazayuni wamekuwa wakihamia katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu…
Kura ya Alyoum: Biden hatoingia katika kamari hatari ya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran
Gazeti la ‘Raei Alyoum’ lilichapisha dokezo na kuandika kwamba ni kweli Washington na Tel Aviv zinaweza kupanga vita dhidi ya Iran; Lakini vita kama hivyo, vikianza, vitasimama tu na mwishowe mchokozi atakua ni mwenye kushindwa, na majibu ya Iran na washirika wake yatakuwa ni yenye uchungu mwingi. Gazeti la ‘Raei Alyoum’, kwa kuchapisha dokezo lililoandikwa…
Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni: Mwanajeshi aliyetekwa na Hamas mjini Gaza yuko hai
Benjamin Netanyahu amethibitisha ukweli wa video iliyopeperushwa kuhusu askari wa Kizayuni aliyekamatwa huko mjini Gaza. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alithibitisha hapo jana Jumanne kwamba mwanajeshi wa Kizayuni anayeshikiliwa na Hamas katika Ukanda wa Gaza yu hai, jana Vikosi vya Al-Qassam vilipeperusha video yake. Siku ya…
China yaitaka Israel kusitisha ‘uchokozi’ dhidi ya Wapalestina
Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema utawala wa Israel lazima ukomeshe “uchochezi na chokochoko” dhidi ya Wapalestina, hususan katika mji wa al-Quds (Jerusalem) huku kukiwa na hali ya wasiwasi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu. Qin Gang amesema, “Tunautaka upande wa Israel kuacha uchochezi na kujizuia kuchukua hatua yoyote ya upande mmoja…
‘Kufanyika kikao cha Kizayuni Azerbaijan ni utangulizi wa mapatano baina ya Baku na Tel Aviv’
Makundi ya Muqawama ya Palestina yametangaza kuwa, kufanyika mkutano wa Wazayuni nchini Azerbaijan ni utangulizi wa kufikiwa mapatano baina ya Baku na Tel Aviv. Ubalozi wa Israel mjini Baku ulitangaza Jumatatu kuwa, kikao rasmi cha mabalozi wa utawala wa Kizayuni katika nchi za eneo la Eurasia kitafanyika mjini Baku mnamo siku chache zijazo kwa kuhudhuriwa na…