Uzayuni

Maandamano ya mapema dhidi ya serikali ya Netanyahu; indhari kuhusu vita vya ndani

Maandamano ya mapema dhidi ya serikali ya Netanyahu; indhari kuhusu vita vya ndani

Makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel) wameandamana kulalamikia maamuzi yaliyochukuliwa na serikali ya Benjamin Netanyahu ya kubana mfumo wa mahakama wa utawala huo. Maandamano ambayo yamefanyika karibuni katika miji ya Tel Aviv na Haifa yamewashirikisha watu wengi zaidi ikilinganishwa na yale yaliyofanyika katika miji mingine ya ardhi zinazokaliwa…

Mufti wa Oman: Njama ya Wazayuni ya kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa ni sawa na kutangaza vita

Mufti wa Oman: Njama ya Wazayuni ya kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa ni sawa na kutangaza vita

Mufti wa Oman Shekhe Ahmed bin Hamad al-Khalili amesema, mwenendo ulioanzishwa na baraza la mawaziri la utawala haramu wa Kizayuni lenye misimamo ya kufurutu ada wa kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa unamaanisha kutangaza vita dhidi ya Umma wa Kiislamu. Tangu Wazayuni walipoandaa njama dhidi ya Palestina kuhusiana na eneo takatifu zaidi la kidini la ardhi hiyo yaani msikiti…

Utawala wa Kizayuni wapanga kuwatimua Wapalestina 13,000 katika mji wa Al-Quds

Utawala wa Kizayuni wapanga kuwatimua Wapalestina 13,000 katika mji wa Al-Quds

Afisa mmoja wa Palestina anasema takriban wakazi 13,000 Wapalestina katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu huenda wakalazimika kuyahama makazi yao kutokana na sera za ukandamizaji za utawala ghasibu wa Israel. Raia wa al-Quds wapatao 13,000 wanatishiwa kuhama kwa lazima kutoka ardhi zao za jadi katika Jiji la Kale la al-Quds linalokaliwa kwa mabavu…

Wapalestina waandamana kupinga uamuzi wa kuodolewa bendera ya Palestina katika maeneo ya umma

Wapalestina waandamana kupinga uamuzi wa kuodolewa bendera ya Palestina katika maeneo ya umma

Mamia ya Wapalestina wakazi wa Quds Mashariki huko Palestina wameandamana kulalamikia na kupinga agizo la waziri mpya wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Israel wa kuondolewa bendera ya Palestina katika maeneo ya umma. Wapalestina hao wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisikika wakipiga nara dhidi ya Israel na waungaji mkono wake na kusisitiza kwamba,…

Kijana mwingine wa Kipalestina auliwa shahidi na Wazayuni; jumla ya mashahidi 4 katika kipindi cha saa 24

Kijana mwingine wa Kipalestina auliwa shahidi na Wazayuni; jumla ya mashahidi 4 katika kipindi cha saa 24

Wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wameuuwa shahidi kijana mwingine Mpalestina kwa kumpiga risasi katika kitongoji cha Qabatiya kusuini kwa mji wa Jenin jana Alhamisi. Kijana huyo wa Kipalestina alijeruhiwa kwa risasi wakati wanajeshi wa utawala haramu wa Israel waliposhambulia kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan; ambapo habari kuhusu kifo cha Habi Mohammad…

Jambo baya la washirika wa Netanyahu: kufuta mabaki ya makubaliano ya Oslo na kubadilisha Ukingo wa Magharibi kuwa Gaza nyingine

Jambo baya la washirika wa Netanyahu: kufuta mabaki ya makubaliano ya Oslo na kubadilisha Ukingo wa Magharibi kuwa Gaza nyingine

Gazeti la Kiebrania la Ha’aretz lilifichua mpango hatari wa Benguir na Smotrich, washirika wapya wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mchezo wa Tel Aviv. Mbinu za baraza jipya la mawaziri la utawala wa Kizayuni, ambapo watu wenye misimamo mikali kama vile “Itmar Ben Gower” Waziri wa…

Muendelezo wa misimamo ya Brazil katika kuunga mkono Palestina/balozi wa Brasilia aitwa mjini Tel Aviv.

Muendelezo wa misimamo ya Brazil katika kuunga mkono Palestina/balozi wa Brasilia aitwa mjini Tel Aviv.

“Luis Inacio Lula da Silva”, rais wa Brazil, ambaye mara baada ya kushinda uchaguzi, aliunga mkono watu wa Palestina kuamua haki yao ya hatima yao, siku ya Alhamisi, alimuita balozi wa nchi yake mjini Tel Aviv kuonyesha sera mpya ya nchi yake dhidi ya utawala wa Kizayuni na Netanyahu. Kwa mujibu wa shirika la habari…

Kushadidi kukosolewa baraza la mawaziri lenye utata la Netanyahu

Kushadidi kukosolewa baraza la mawaziri lenye utata la Netanyahu

Katika kipindi cha chini ya wiki mbili tokea lianze kazi baraza la mawaziri la serikali mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayoongozwa na Benjamin Netanyahu, ukosoaji dhidi ya baraza hilo umeshadidi kwa kiasi kikubwa na hata baadhi wameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita vya wenyewe kwa wenyewe katika utawala huo. Benjamin Netanyahu amerejea madarakani…