Uzayuni

Mbunge wa Kizayuni afichua: 2023 Saudia na Israel zitasaini mkataba wa kuanzisha uhusiano rasmi

Mbunge wa Kizayuni afichua: 2023 Saudia na Israel zitasaini mkataba wa kuanzisha uhusiano rasmi

Mbunge wa chama cha Likud katika Bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, kwa kuzingatia mazungumzo yaliyofanyika, inatarajiwa kuwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya utawala huo na Saudi Arabia yatasainiwa mwaka ujao wa 2023. Danny Danon, mbunge wa chama cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu, aliyekabidhiwa jukumu la kuunda baraza…

Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa

Kutimia miaka 35 ya kuasisiwa HAMAS; mapambano na muqawama sambamba na siasa

Miaka 35 imepita tangu ilipoasisiwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Harakati hiyo ya mapambano iliundwa katika Ukanda wa Gaza tarehe 14 Desemba 1987 na Sheikh Ahmad Yasin na viongozi kadhaa wa Ikhwanul-Muslimin. Hamas ni moja ya makundi ya Palestina, ambayo baada ya kuasisiwa kwake, limetoa mchango mkubwa katika matukio ya nchi hiyo…

Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi

Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi

Kanali ya televisheni ya KiKA ya Ujerumani imemfuta kazi Matondo Castlo mwendeshaji wa kipindi cha watoto baada ya kushiriki katika maandamano ya amani katika mji wa Bait Dajan huko mashariki mwa mji wa Nablus. Uongozi wa Televisheni hiyo ya Ujerumani umemtuhumu Matondo kwamba, ana chuki na utawala wa Kizayuni. Magazeti ya Ujerumani yameandika taarifa kuhusu kushiriki…

Wanajeshi makatili wa Israel wavamia mji wa Jenin, wamuua shahidi binti mdogo

Wanajeshi makatili wa Israel wavamia mji wa Jenin, wamuua shahidi binti mdogo

Duru za Palestina mapema leo Jumatatu zimetangaza habari ya kuuawa shahidi binti mdogo wa Kipalestina kwenye uvamizi wa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika mji wa Jenin wa Ukingo Magharibi wa Mto Jordan. Tovuti ya habari ya Falastin al Yaum imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa takriban miaka…

PPC: Wanajeshi wa Israel wamewakamata Wapalestina 6,500 wakiwemo watoto 811

PPC: Wanajeshi wa Israel wamewakamata Wapalestina 6,500 wakiwemo watoto 811

Shirika huru na lisilo la kiserikali la kutetea haki za binadamu limesema kuwa, wanajeshi wa Israel wamewatia mbaroni Wapalestina 6,500 wakiwemo mamia ya wanawake na watoto katika eneo lote la Ukingo wa Magharibi linaokaliwa kwa mabavu tangu mwanzoni mwa mwaka huu, huku utawala wa Israel ukiendelea na kampeni yake ya kuwanyanyasa na kuwatia mbaroni Wapalestina….

Juhudi za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa za kutokomeza silaha za nyuklia za Israel

Juhudi za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa za kutokomeza silaha za nyuklia za Israel

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeanza kuchukua hatua kwa lengo la kutokomeza silaha za atomiki za utawala haramu wa Israel baada ya nchi 149 wanachama wa umoja huo kuunga mkono azimio linaloutaka utawala huo wa Kizayuni “uache kufuatilia uzalishaji, uundaji, majaribio au kutaka kuwa na silaha za nyuklia” na “kuachana na mpango wa kumiliki…

Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco

Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco

Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewashambulia wananchi wa Palestina waliokuwa wamekusanyika kusherehekea ushindi wa Morocco katika mchuano wa robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea kushuhudiwa nchini Qatar. Shirika la habari la Shahab limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, askari polisi na wanajeshi makatili wa utawala haramu wa Israel jana…

Majeruhi wa Kizayuni waliweka rekodi katika mwaka wa 2022; Watu 31 wameuawa kwenye Ukingo wa Magharibi

Majeruhi wa Kizayuni waliweka rekodi katika mwaka wa 2022; Watu 31 wameuawa kwenye Ukingo wa Magharibi

Gazeti moja la Kiebrania limetangaza kuwa, tangu mwanzoni mwa mwaka huu, Wazayuni 31 wameuawa katika operesheni 300 za silaha katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Jumamosi hii, Disemba 10 gazeti la Kiebrania la “Yediot Aharanot” limechapisha ripoti kwamba walowezi 31 waliuawa wakati wa operesheni za muqawama wa Palestina dhidi ya vikosi vinavyoikalia kimabavu na…