Wabahrain waandamana kulaani safari ya Rais wa Israel nchini kwao
Maandamano makubwa ya kupinga safari ya Rais Isaac Herzog wa utawala haramu wa Israel yamefanyika katika mji mkuu wa Bahrain, Manama. Waandamanaji hao wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisikika wakipiga nara dhidi ya utawala haramu wa Israel na kutangaza kuliunga mkono taifa madhulumu la Palestiina. Kadhalika waandamanaji hao mbali na kulaani jinai za Israel huko Palestina…
Malengo ya pamoja ya Aal-Khalifa na Israeli kuhusu safari ya Herzog mjini Manama
Isaac Herzog, mkuu wa utawala wa Kizayuni unaokalia kwa mabavu Quds Tukufu, aliwasili nchini Bahrain tarehe 4 Disemba kwa ziara rasmi ambapo alikutana na kuzungumza na Mfalme Hamad bin Issa wa nchi hiyo. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa mfalme huyo. Isaac Herzog alitangaza mapema Jumamosi kwamba alikuwa amepanga kuelekea Manama kwa mwaliko wa…
‘Arin al Usud: Tumefanya operesheni 5 za kulipiza kisasi dhidi ya Wazayuni
Kundi la mapambano ya Kiislamu la ‘Arin al Usud (Pango la Simba) linaloendesha mapambano yake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina limetoa taarifa na kusisitiza kuwa limefanya operesheni tano za kulipizia kisasi cha kuuliwa shahidi na kikatili kijana wa Kipalestina, Ammar Mefleh. Taarifa ya kundi hilo la muqawama wa Kiislamu imesema kuwa,…
Harakati za Hamas, Jihad Islami zalaani vikali ziara ya rais wa Israel nchini Bahrain
Harakati mbili za mapambano ya Kiislamu (muqawama) Palestina za Hamas na Jihad Islami zenye makao yake katika Ukanda wa Gaza zimelaani vikali ziara inayoendelea nchini Bahrain ya rais wa utawala ghasibu wa Israel. Afisa mwandamizi wa Hamas Basim Naim na msemaji wa Jihad Islami Tariq Salmi walilaani safari hiyo siku ya Jumapili saa chache baada…
Njama ya UAE yazimwa na “kampeni ya kufelisha uanzishaji uhusiano na Israel”
Kuzinduliwa kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye alama ya hashtag “Kufeli Uanzishaji Uhusiano na Israel Katika Kombe la Dunia Qatar” kumekaribishwa kwa wingi na wanaharakati wa Muungano wa Falme za Kiarabu, Imarati na nchi zingine za Kiarabu ambao wote wamesisitiza kwa kauli moja kwamba, Kombe la Dunia la Soka nchini Qatar limefichua na kuzima njama…
Wanachama wa mtandao wenye uhusiano na Mossad wanyongwa nchini Iran
Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran. Vyombo vya habari rasmi vimesema kuwa watu hao wanne walikuwa sehemu ya mtandao wa kijasusi ambao ulikuwa ukishirikiana na shirika ya ujasusi la Israel, Mossad. Taarifa ya Jeshi la Walinzi wa…
Kombe la Dunia Qatar limeonyesha kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel
Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema, wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wanaoshuhudia mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar wamethibitisha kugonga mwamba mpango mchafu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel. Samahat Sheikh Ikrima Sabri sambamba na kuashiria msimamo sahihi unaoonyeshwa na Waislamu katika…
Kuwait ni jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel
Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Abdullah Al-Mousawi, mtafiti wa masuala ya Palestina amenukuliwa na shirika la habari la Iran Press akisema…