Uzayuni

Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds

Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds

Kwa mara nyingine, Uingereza kutokana na mashinikizio na ukosoaji wa ndani na nje ya nchi, imesisitiza kuwa haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds tukufu, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Hayo yalisemwa jana Jumatatu na Shailesh Vara, kiongozi wa ujumbe wa Bunge la Uingereza katika Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) nchini Jordan,…

Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

Wizara ya Mateka na Wafungwa wa Kipalestina Walioachiliwa Huru kutoka gerezani imetangaza kuwa, hivi sasa kuna watoto 170 wa Kipalestina katika magereza ya Israel huku watano kati yao wakishikiliwa pasi na kuelezwa tuhuma na makosa yao. Takwimu mbalimbali zinaonesha kuwa, katika hali ya wastani watoto na mabarobaro zaidi ya 1000 wa Kipalestina hutiwa mbaroni kila…

Shtayyeh: Serikali mpya ya Israel inajiandaa kutangaza vita dhidi ya Wapalestina

Shtayyeh: Serikali mpya ya Israel inajiandaa kutangaza vita dhidi ya Wapalestina

Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, serikali mpya ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel chini ya uongozi wa wanasiasa wa mrengo wa kulia wenye misimamo ya kufurutu ada inajiandaa kutangaza vita dhidi ya Wapalestina. Kwa mujibu wa shirika la habari la Palestina SAMA, Muhammad Ashtiyeh, amebainisha kuwa mazungumzo ya uundaji baraza la…

UN yaalani mashambulizi ya kinyama ya walowezi na wanajeshi wa Kizayuni huko al Khalil

UN yaalani mashambulizi ya kinyama ya walowezi na wanajeshi wa Kizayuni huko al Khalil

Umoja wa Mataifa umelaani mashambulizi ya kinyama ya walowezi wa Kizayuni wakishirikiana na wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel huko katika mji wa al Khalil. Wanajeshi na walowezi wa Kizayuni kila siku hushambulia maeneo mbalimbali ya Palestina kwa lengo la kufanikisha malengo yao ya kujitanua na hivyo kuwauwa shahidi, kuwajeruhi na kuwatia mbaroni raia wa…

Hamas yalaani hujuma ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria

Hamas yalaani hujuma ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa taarifa akilaani mashambulio ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria. Shirika rasmi la habari la Syria (SANA) limeripoti kujiri mashambulizi mapya ya anga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya ardhi ya nchi iyo yaliyouwa wanajeshi wanne na kumjeruhi mwingine mmoja….

Hamas: Mpango wa wavamizi wa Kizayuni huko al Khalil utashindwa

Hamas: Mpango wa wavamizi wa Kizayuni huko al Khalil utashindwa

Sambamba na kupongeza muqawama na mapambano ya wananchi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, msemaji wa harakati ya Hamas amesisitiza kuwa, juhudi za utawala wa Kizayuni za kuimarisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi huko al Khalil hazitafanikiwa. Hali ya sasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu hususan katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni tata mno, ambapo…

Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran

Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani limepasishwa ambapo limetuma ujumbe ulio wazi kufuatia kupungua kwa kura za nchi zilizoliunga mkono licha ya mashinikizo mapya ya kisiasa ya Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya Iran….

Kivuli cha ufashisti kwenye bunge na baraza jipya la mawaziri la utawala wa Israel

Kivuli cha ufashisti kwenye bunge na baraza jipya la mawaziri la utawala wa Israel

Siku ya Jumanne Novemba 15, kilifanyika kikao cha kwanza cha Bunge la Kizayuni (Knesset) ambapo wawakilishi 120 wa bunge hilo walikula kiapo mbele ya Isaac Herzog, rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Kati ya wabunge 120 wa Knesset, wanachama 23 pekee ndio wapya na waliosalia ni wabunge wa zamani ambao walibaki kwenye nafasi zao katika…