Uzayuni

Wazayuni wapatwa na kiwewe cha kwenda Qatar wakati wa fainali za Kombe la Dunia

Wazayuni wapatwa na kiwewe cha kwenda Qatar wakati wa fainali za Kombe la Dunia

Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaonya Wazayuni wasitembelee Qatar au wachukue tahadhari kubwa wakiweko nchini humo wakati wa fainali za Kombe la Dunia. Fainali za kombe la dunia la kabumbu zitaanza nchini Qatar tarehe 20 mwezi huu Novemba na zitaendelea hadi tarehe 18 Disemba 2022. Hizi ni fainali za 22 za Kombe la Dunia na ni…

Moto waua watu 21 Ukanda wa Gaza, Mamlaka ya Ndani yatangaza maombolezo ya umma

Moto waua watu 21 Ukanda wa Gaza, Mamlaka ya Ndani yatangaza maombolezo ya umma

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukanda wa Gaza imetangaza habari ya kufariki dunia watu wote waliokuwa katika jengo la ghorofa lililoteketea kwa moto katika kambi ya Jabalia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, huku Jeshi la Ulinzi la Wananchi likieleza kuwa wafanyakazi wake wameopoa miili 21 ya waliofariki dunia kutokana na moto huo. Msemaji wa…

Wapalestina wapata ushindi mwingine Umoja wa Mataifa

Wapalestina wapata ushindi mwingine Umoja wa Mataifa

Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio ikitambua haki ya watu wa Palestina ya kuamua hatima yao wenyewe. Rasimu ya azimio hilo iliwasilishwa na Misri ikishirikiana na serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina katika Umoja wa Mataifa, kwa niaba ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)….

Indhari ya UNRWA kuhusu kuongezeka umaskini miongoni mwa wakimbizi wa Kipalestina

Indhari ya UNRWA kuhusu kuongezeka umaskini miongoni mwa wakimbizi wa Kipalestina

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) limetahadharisha kuhusu kuongezeka kwa kiasi kikubwa umaskini miongoni mwa wakimbizi wa Kipalestina huko Syria, Lebanon na Ukanda wa Ghaza. Wapalestina zaidi ya milioni 6 wanaishi kama wakimbizi katika nchi mbalimbali na hasa katika nchi zinazopakana na Palestina. Wakimbizi hao wa Kipalestina ambao kabla ya…

Wanamuqawama watekeleza oparesheni huko Ukingo wa Magharibi; Wazayuni 2 waangamizwa

Wanamuqawama watekeleza oparesheni huko Ukingo wa Magharibi; Wazayuni 2 waangamizwa

Duru za habari zimeripoti kuwa, wanamuqawama wa Palestina wametekeleza oparesheni dhidi ya Uzayuni karibu na kitongoji kimoja cha walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Gazeti la Kizayuni la Yediot Aharonot limetangaza leo Jumanne kwamba, walowezi wawili wa Kizayuni wameangamizwa na wengine watatu wamejeruhiwa katika oparesheni ya kimuqawama iliyofanywa na kijana Mpalestina…

Utawala wa Kizayuni; kizuizi kikuu cha uwepo wa Asia Magharibi pasina silaha za maangamizi ya umati

Utawala wa Kizayuni; kizuizi kikuu cha uwepo wa Asia Magharibi pasina silaha za maangamizi ya umati

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaja utawala wa Kizayuni kuwa kizuizi kikuu cha uwepo wa Asia Magharibi isiyokuwa na silaha za maangamizi ya umati. Utawala wa Kizayuni ambao unamiliki silaha za nyuklia ambapo kwa mujibu wa ripoti nyingi za kuaminika hivi sasa unamiliki vichwa vya nyuklia kati ya 200 hadi…

Wazayuni waingiwa na hofu baada ya Netanyahu kupewa jukumu la kuunda serikali mpya Israel

Wazayuni waingiwa na hofu baada ya Netanyahu kupewa jukumu la kuunda serikali mpya Israel

Sambamba na Benjamin Netanyahu kupewa jukumu la kuunda baraza la mawaziri la serikali mpya ya Israel, mmoja wa majenerali wa Israel ameutaja uteuzi wake kuwa ni maafa makubwa. Jenerali Amos Gilad wa Israel na mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama na Siasa ya Wizara ya Vita ya utawala huo ameutaja uteuzi wa mawaziri wa serikali ijayo…

Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu

Mrithi wa Ufalme Bahrain apewa mwaliko na Netanyahu

Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel anayetazamiwa kuunda serikali mpya ya utawala wa Kizayuni amemualika Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Bahrain, Salman bin Hamad Aal Khalifah kuitembelea ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina la Israel. Gazeti la The Times of Israel limeripoti kuwa, Netanyahu jana Jumapili alizungumza kwa njia…