Uzayuni

Kilichofanyika Bahrain ni uchaguzi au uteuzi tu wa watu?

Kilichofanyika Bahrain ni uchaguzi au uteuzi tu wa watu?

Jana Jumamosi, ulifanyika uchaguzi nchini Bahrain wa kuchagua wabunge 40 wa Baraza la Wawakilishi na wajume 30 wa Mabaraza ya Miji. Maamuzi yanayopitishwa na bunge hilo la wawakilishi hayana ulazima wa kutekelezwa bali hupata nguvu ya utekelezaji yanapoidhinishwa na bunge la mashauriano inalojulikana kama Seneti, ambalo wajumbe wake wote 40 wanateuliwa na mfalme. Wagombea wote wa uchaguzi…

Nasrullah: Iran imezishinda tena njama za Marekani na Israel

Nasrullah: Iran imezishinda tena njama za Marekani na Israel

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amezungumzia machafuko ya hivi karibini nchini Iran na kufeli kwa njama za maadui na kusisitiza kuwa, Kwa mara nyingine tena Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzima njama na fitina za Marekani na utawala haramu wa Israel. Sayyid Hassan Nasrullah aliyasema hayo usiku wa kuamkia leo katika…

Wazayuni wakasirishwa na uamuzi wa Umoja wa Mataifa wenye maslahi na Wapalestina

Wazayuni wakasirishwa na uamuzi wa Umoja wa Mataifa wenye maslahi na Wapalestina

Kamati ya Kupambana na Ukoloni ya Umoja wa Mataifa imepasisha muswada wa Kipalestina ambao ndani yake unataka rai na maoni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na hatua ya utawala wa Kizayuni wa israel ya kuendelea kuikalia kwa mabavu Palestina. Azimio hilo ambalo limepasishwa katika makao makuuu ya Umoja wa Mataifa mjini New…

Qatar yasisitiza tena kupinga kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

Qatar yasisitiza tena kupinga kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

Serikali ya Qatar kwa mara nyingine tena imesisitiza msimamo wake wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida wa aina yoyote ile na utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji kila leo huko Palestina. Duru za habari za Kizayuni zimetangaza kuwa, serikali ya Qatar haitaki kabisa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israela na kwamba, Dohha inaendelea kusisitiza…

Faili la pili la sauti ya mwandishi wa BBC: Lengo la ghasia ni kuigawa Iran

Faili la pili la sauti ya mwandishi wa BBC: Lengo la ghasia ni kuigawa Iran

Faili la pili la sauti lililovuja la mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limefichua wazi zaidi jinsi televisheni inayofadhiliwa na Saudia inayojiita ‘Iran International’ inavyoongoza kampeni ya kuigawa Iran vipande vipande. Ghasia zilizuka Iran wiki za hivi karibuni baada ya Bi. Mahsa Amini aliyekuwa na umri wa miaka 22 kuanguka katika kituo cha…

Utawala wa Kizayuni wakataa kukabidhi maiti za Wapalestina 10 waliouawa shahidi

Utawala wa Kizayuni wakataa kukabidhi maiti za Wapalestina 10 waliouawa shahidi

Kamati inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa utawala huo ghasibu unaendelea kuzuia viwiliwili vya Wapalestina kumi waliouawa shahidi. Kwa mujibu wa chaneli ya habari ya Quds Al-Akhbariya, Kamati ya Wafungwa wa Palestina imetangaza katika taarifa yake siku ya Alkhamisi kwamba Wapalestina hao waliuawa shahidi wakati…

Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India

Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India

Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Kwa mujibu wa tovuti huru ya habari Al-Watan, maafisa hao wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la India waliajiriwa na kampuni binafsi nchini Qatar iitwayo…

Wapalestina wakosoa njama za Kuyahudisha mtaala wa shule katika jiji la Quds

Wapalestina wakosoa njama za Kuyahudisha mtaala wa shule katika jiji la Quds

Wapalestina wanaendelea kulaani vikali njama za utawala haramu wa Israel za Kuyahudisha na kupotosha ukweli katika vitabu vya shule katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo. Kamati ya Quds ya Baraza la Wananchi la Wapalestina Nje ya Nchi imelaani mitaala potofu ya Israel iliyowekwa kwa ajili ya wanafunzi wa Kipalestina katika…