Askari wa Israel awasihi vijana Wapalestina Al-Khalil: ‘Basi tena, tutaabani’
Mitandao ya kijamii imesambaza video inayomuonyesha askari mmoja wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel akiwasihi vijana Wapalestina katika eneo la Al-Khalil, Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan wahitimishe muqawama na mapambano dhidi yake yeye na wanajeshi wenzake. Katika video hiyo ambayo imeangaliwa na watu wengi sana, anaonekana askari wa utawala wa Kizayuni akiwataka vijana…
Syria: Tunataka uanzishwe mfumo mpya wa kimataifa, jinai za Israel zidhibitiwe
Kwa mnasaba wa Siku ya Umoja wa Mataifa, Serikali ya Syria imetoa wito na kusisitiza ulazima wa kuundwa mfumo mpya wa kimataifa na kuzuiwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na jinai zinazofanywa na utawala huo haramu. Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Al-Akhbariya; Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa…
Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo. Sheikh Nabil Qaouk, Naibu Mkuu wa…
Netanyahu: Kama si msaada wa Saudia tusingeweza kupatana na Waarabu
Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa, kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu kumefanikiwa kwa mwafaka na baraka za Saudi Arabia. Benjamin Netanyahu amesema: “Jambo la kwanza ninalopaswa kukiri ni kwamba Saudi Arabia ilianza kutekeleza mpango wa kuanzishwa uhusiano baina ya Israel na nchi za…
Yemen yalaani ugaidi wa kiserikali wa utawala wa Israel
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Yemen amelaani ugaidi wa kiserikali unavyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa lisilo na ulinzi la Palestina. Mji wa Nablus unaendelea kuzingirwa na jeshi la utawala haramu wa Israel kwa siku ya 15 mfululizo, na zaidi ya hayo, idadi kubwa ya raia wamekamatwa katika maeneo tofauti ya Ukingo…
Mbunge wa Bunge la Ulaya: Marekani na Israel zinaunga mkono ugaidi
Mick Wallace, Mwakilishi wa Ireland katika Bunge la Ulaya amekosoa vikali sera za Marekani na utawala ghasibu wa Israel na kuzitaja kuwa waungaji mkono wa ugaidi. Mbunge huyo wa Bunge la Ulaya amelaani mauaji ya kizazi ya Saudi Arabia na Imarati huko nchini Yemen na kutangaza kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinaunga…
Mtandao wa Twitter wafuta akaunti bandia ili kuzuia mvutano katika uchaguzi wa Kizayuni
Twitter iliondoa akaunti 40 feki kutokana na kuongezeka kwa mvutano wa uchaguzi katika utawala wa Kizayuni. Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel, Twitter imeondoa mtandao wa akaunti 40 feki ambazo zilitumika kushawishi mijadala ya kisiasa nchini Israel na kuongeza mvutano miongoni mwa wapiga kura wa mrengo wa kulia kabla ya uchaguzi wa…
Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina
Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina. Mahakama za utawala wa Kizayuni zinawakamata na kuwaweka kizuizini Wapalestina kwa sababu tofauti na kwa madai mbalimbali hewa na ya uwongo. Kwa mujibu…