Gazeti la Israel limemtambulisha kiongozi wa Kizayuni kama msimamizi wa ghasia nchini Iran
Gazeti la Kiebrania lilikiri kwamba Mzayuni aitwaye Elham Yaqoubian, ambaye ni Myahudi anayeishi nchini Marekani, alikuwa mmoja wa watu waliohusika katika kuratibu machafuko ya hivi majuzi nchini Iran. Mtandao wa Al-Mayadeen wa Lebanon umeripoti Alhamisi hii, ukilinukuu gazeti la Kiebrania, kwamba Elham Yaqoubian, ambaye ni Myahudi wa Iran mwenye uraia wa Marekani na amefunzwa kwa…
Utawala wa Kizayuni wa Israel watiwa kiwewe na droni za Iran
Chombo kimoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimeelezea kuingiwa na hfu kubwa kutokana na kuimarika teknolojia ya ndege zisizo na rubani (droni) za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika miaka ya hivi karibuni na kugeuka teknolojia hiyo kuwa sehemu muhimu katika mkakati wa kujihami taifa hili la Kiislamu. Gazeti la Jerusalem Post limeandika hayo…
Malalamiko ya Wapalestina dhidi ya kuyahudisha mfumo wa elimu wa Quds
Skuli za Palestina katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu zimeanzisha mgomo jumuishi kwa ajili ya kulalamikia sera za elimu za utawala ghasibu wa Israel pamoja na mpango mchafu wa utawala huo wa kuziyahudisha shule za Kipalestina. Moja ya mikakati michafu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kufuta utambulisho wao strajia…
Wapalestina wapinga mitaala inayolazimishwa na Israel katika shule za Al-Quds
Sheikh Mkuu wa Palestina Sheikh Ekrima Sabri amesema anaunga mkono maandamano ya al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu ambayo yameitishwa kupinga mitaala ya elimu ambayo inalazimishwa na utawala haramu wa Israel katika shule za Wapalestina. “Wazazi wa wanafunzi Wapalestina mjini al-Quds wana haki ya kuchagua mitaala inayoafikiana na imani, dini, kanuni na mila zao,” amesisitiza Sheikh…
Sisitizo la Nasrullah juu ya ulazima wa kuendelezwa Muqawama wa kukabiliana na adui Mzayuni
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, Muqawama ndio njia pekee ya kukabiliana na adui mzayuni. Nasrullah ameyasema hayo katika hotuba aliyotoa siku ya Jumamosi kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein AS. Hotuba ya siku ya Jumamosi ya Sayyid Hassan Nasrullah iliangazia mambo kadhaa, lakini moja ya nukta aliyoitilia mkazo ilikuwa…
UN:Israel imebomoa Majengo 44 ya Wapalestina katika kipindi cha wiki mbili
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala ghasibu wa Israel umebomoa majengo 44 ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ikiwa ni muendelezo wa siasa zake za unyakuzi wa ardhi za Palestina kinyume cha sheria. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema mamlaka za Israel katika…
Askofu wa Othodoksi Palestina: Kupita kwa muda hakutafanya jinai za maghasibu wa Baitul Muqaddas zisahaulike
Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi mjini Baitul Muqaddas (Jerusalem) amesema: Palestina haitafunga mikono na kusimama kizembe katika kukabiliana na upendeleaji unaofanywa na Magharibi kwa utawala ghasibu wa Kizayuni pamoja na sera na jinai zake. Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa zaidi wa jinai za utawala wa Kizayuni katika eneo la Magharibi mwa Asia, jambo ambalo…
Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi
Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Amani Mashariki ya Kati amelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwsa mabavu. Ili kufikia malengo yao ya kujitanua zaidi, Wazayuni wamekuwa wakifanya mashambulizi ya kila siku kwenye maeneo tofauti ya Palestina na kuwakamata, kuwajeruhi au kuwaua shahidi Wapalestina kwa madai…