Uzayuni

Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish

Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish

Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, amesema leo Jumamosi kwamba macho na makombora ya harakati hiyo yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish, ambao inazozaniwa baina ya Lebanon na utawala haramu wa Israel. Sayyid Nasrullah amesema katika hotuba yake kwa njia ya televisheni kuwa “haiwezekani kuruhusu uchimbaji wa mafuta na gesi…

Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa

Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, misingi ya utawala wa kibaguzi wa Israel imejengeka juu ya uvamizi na tishio kwa amani na usalama wa dunia. Akiashiria mauaji ya Sabra na Shatila yaliyofanywa na utawala dhalimu wa Israel huko Lebanon katika kambi za wakimbizi wa Kipalestina mwaka…

HAMAS na Jihadul-Islami: Jinai za Israel hazina taathira yoyote kwa azma ya taifa la Palestina

HAMAS na Jihadul-Islami: Jinai za Israel hazina taathira yoyote kwa azma ya taifa la Palestina

Harakati za Hamas na Jihadul Islami za Palestina zimesisitiza kuwa, Jinai za Israel hazina taathira yoyote kwa irada na azma ya taifa la Palestina na kwamba, Wapalestina wanafungamana kikamilifu na chaguo la muqawama na mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel. Taarifa ya Harakati za Hamas na Jihadul Islami za Palestina imetolewa kufuatia tukio la kuuawa…

Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco

Israel yamfuta kazi balozi wake anayetuhumiwa kuwabaka wanawake nchini Morocco

Utawala haramu wa Israel umelazimika kumfuta kazi balozi wake wa nchini Morocco anayekabiliwa na kashfa za ngono na kuwanyanyasa kijinsia wanawake wa nchi hiyo ya Kiarabu. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala ghasibu wa Israel imetangaza kuwa, imemsimamisha kazi David Govrin balozi wake mjini Rabat na nafasi yake imechukuliwa na mwanamama Alona Fischer. David…

Hamas: Tunatazamia kuwa na uhusiano imara na Syria

Hamas: Tunatazamia kuwa na uhusiano imara na Syria

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa inataka kuwa na uhusiano imara na Syria ikiwa ni katika fremu ya uamuzi wa harakati hiyo wa kuanzisha tena uhusiano na Damascus. Katika taarifa iliyoitoa leo Alhamisi, Hamas imelaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni huko Syria na kusisitiza kuwa harakati hiyo iko imara…

HAMAS yataka makubaliano ya Oslo baina ya PLO na Israel yafutwe

HAMAS yataka makubaliano ya Oslo baina ya PLO na Israel yafutwe

Sambamba na kutimia mwaka wa 29 tangu yaliposainiwa Makubaliano ya Oslo, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaka Mamlaka ya Ndani ya Palestina itangaze kufutwa makubaliano hayo ya nakama. Makubaliano ya Oslo yalitiwa saini tarehe 13 Septemba 1993 kati ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO);…

Wapalestina 2 wauawa shahidi, Mzayuni aangamizwa Ukingo wa Magharibi

Wapalestina 2 wauawa shahidi, Mzayuni aangamizwa Ukingo wa Magharibi

Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu. Jeshi la Israel limesema katika taarifa kuwa, Wapalestina hao wawili wameuawa mapema leo katika kituo cha upekuzi wa usalama karibu na kijiji cha Jalamah, kaskazini mwa…

Israel yafanya maneva ya kijeshi katika Ghuba ya Haifa kwa kuhofia maonyo ya Hizbullah

Israel yafanya maneva ya kijeshi katika Ghuba ya Haifa kwa kuhofia maonyo ya Hizbullah

Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa unafanya maneva ya kijeshi kuanzia Ghuba ya Haifa hadi katika mpaka wa baina ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Lebanon kwa kuhofia indahri za karibuni za harakati ya Hizbullah ya Lebanon. Msemaji wa jeshi la Israel ameeleza kuwa, mazoezi hayo ya kijeshi yameanza mapema leo katika mpaka wa…