Uzayuni

Qatar yakataa ombi la kuanzishwa ubalozi wa Israel mjini Doha kwa ajili ya Kombe la Dunia

Qatar yakataa ombi la kuanzishwa ubalozi wa Israel mjini Doha kwa ajili ya Kombe la Dunia

Serikali ya Qatar imetangaza kukataa ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia. Vyombo vya habari vya utawala ghasibu wa Israel hivi karibuni viliripoti kuwa, kumekuweko mazungumzo baina ya viongozi wa utawala huo na wenzao wa…

Cairo yaitahadharisha Tel Aviv kuhusu hali ya mambo katika Ukingo wa Magharibi

Cairo yaitahadharisha Tel Aviv kuhusu hali ya mambo katika Ukingo wa Magharibi

Cairo imeitahadharisha Tev Aviv kuhusu kushtadi mashambulizi ya utawala huo katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na uwezekano wa kushindwa kudhibiti hali hiyo. Maafisa husika wa Misri wamekosoa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuendeleza mashambulizi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kutahadharisha juu ya uwezekano wa kuongezeka…

Mateka 73 wa Kipalestina wafa shahidi katika jela za utawala wa Kizayuni kwa kukosa matibabu

Mateka 73 wa Kipalestina wafa shahidi katika jela za utawala wa Kizayuni kwa kukosa matibabu

Taasisi ya kutetea haki za binadamu ya Palestina imetangaza kuwa, tangu mwaka 1967 hadi sasa Wapalestina 73 wameaga dunia kutokana na upuuzaji unaofanywa na Israel wa kutowapatia matibabu stahiki mateka wa Kipalestina katika jela za utawala huopandikizi unaozikalia kwa mabavu ardhi za Palestina. Klabu ya wafungwa ya Palestina jana Jumapili imeripoti kuwa, raia hao 73…

Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu

Jeshi la Israel lakiri kuwa katika wakati mgumu wa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kiislamu

Baadhi ya duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, licha ya jeshi la Israel kuvamia kila siku na mara kwa mara maeneo ya Wapalestina na licha ya kufanya ukatili mkubwa dhidi ya Wapalestina lakini limeshindwa kuzuia operesheni za wanamuqawama na wanamapambano wa Kiislamu. Shirika la habari la Kizayuni la “Walla” limewanukuu baadhi ya maafisa wa kijeshi wa…

Vikosi vya upinzani vyafanya mashambulizi ya risasi kwenye gari la walowezi wa Kizayuni mjini Jenin

Vikosi vya upinzani vyafanya mashambulizi ya risasi kwenye gari la walowezi wa Kizayuni mjini Jenin

Vikosi vya muqawama vya Palestina vililishambulia kwa risasi gari la walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Majeshi ya Muqawama wa Palestina yamelishambulia kwa risasi gari la walowezi wa Kizayuni magharibi mwa Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Wakati huo huo, vyanzo vya Kiebrania vilisema: Vikosi vya Palestina vilivyokuwa kwenye…

Ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS wawasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow

Ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS wawasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow

Ujumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS umewasili katika mji mkuu wa Russia, Moscow. Ujumbe huo ambao unaongozwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Mkuu wa Ofisi ya harakati hiyo Ismail Hania unatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa nchi hiyo akiwemo…

Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

Jihadul Islami: Jinai za Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama

Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zinazidisha ari na irada ya muqawama na mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala huo ghasibu. Taarifa iliyotolewa na Harakati ya Jihadul-Islami imepongeza operesheni ya kimuqawama ya Wapalestina katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan iliyopelekea kujeruhiwa wanajeshi saba wa Israel na kueleza kwamba,…

Wananchi wa Morocco waandamana kulaani Israel baada ya balozi wake kukabiliwa na kashfa ya ngono

Wananchi wa Morocco waandamana kulaani Israel baada ya balozi wake kukabiliwa na kashfa ya ngono

Mamia ya wananchi wa Morocco wameandamana kulaani utovu wa kimaadili wa balozi wa utawala haramu wa Israel mjini Rabat ambaye anakabiliwa na kashfa ya ngono. Waandamanaji wenye hasira wakiwa wamebeba mabango na maberamu walisikika wakipiga nara dhidi ya utawala haramu wa Israel na kutoa mwito wa kufanyika uchunguzi kuhusiana na kashfa ya ngono inayomkabili balozi…