Wanawake Wapalestina wanateseka katika jela za Israel
Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, utawala haramu wa Israel umewatia mbaroni zaidi ya wanawake 16,000 wa Kipalestina tangu mwaka 1967 huku mashirika ya haki za binadamu yakionya kuhusu hali mbaya ya wafungwa wa kike katika jela za kuogofya za Israel. Addameer, asasi isiyo ya kiserikali ya Wapalestina ambayo inafuatilia jinsi wafungwa wa Kipalestina…
Hali ya kusikitisha ya jela za utawala wa Kizayuni; Suluhisho la wafungwa wa Kipalestina kuepukana na hali hizi
Je, ni wangapi mfano wa Khalil Awade ambao wamo katika jela za utawala huo ghasibu na jela ngapi zinazoshuhudia ufidhuli wa askari wa gerezani wa Kizayuni na ukiukaji wa sheria za kimataifa; Hata hivyo, jumuiya ya kimataifa imekaa kimya mbele ya kiasi hiki cha uvamizi. Khalil Awadeh, mfungwa wa Kipalestina, katika jela za utawala huo…
Mshikamano kambi ya muqawama, ujumbe wa Hamas wakutana na Sayyid Nasrullah
Ujumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS umeonana na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon mjini Beirut, ukiwa ni ushahidi wa kuzidi kushikamana kambi ya muqawama katika eneo hili. Shirika la habari la Quds limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, ujumbe huo wa ngazi za juu wa HAMAS…
Rais wa Syria asisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi
Rais Bashar al Assad wa Syria amesisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi na akaeleza kwamba, kupambana na ugaidi hakutawezekana kwa kutumia nguvu za kijeshi pekee, kwa sababu idiolojia ya mitazamo ya kufurutu ada haitambui mipaka bali inajipanua na kuenea kwa kasi kutoka nchi moja hadi nyingine. Rais wa Syria ameyasema hayo…
Tangazo la jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya mmoja wa viongozi wa Jihad ya Kiislamu ya Palestina
Mahakama ya utawala wa Kizayuni ilitoa mashtaka dhidi ya mmoja wa viongozi mashuhuri wa harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina na kumtuhumu kwa uchochezi dhidi ya utawala huo na ugaidi. Mahakama ya Ofar ya utawala wa Kizayuni ilitoa hati ya mashtaka dhidi ya Bassam Al-Saadi, mmoja wa viongozi mashuhuri wa Jihad ya Kiislamu, aliyetiwa…
HAMAS: Jinai za Wazayuni haziwezi kusimamisha muqawama katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, kujeruhiwa askari wa utawala dhalimu wa Israel katika mapigano katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni ishara ya wazi ya sisitizo la vijana wa Kipalestina juu ya kupambana na uvamizi wa utawala ghasibu wa Israel Hazim Qassim amebainisha kuwa, vita na utawala…
Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran
Edward “Ned” Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya. Naye Nasser Kan’ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo…
Wazayuni wana kiwewe cha mashambulio ya Hizbullah ya Lebanon
Duru moja ya Kizayuni imethibitisha taarifa kuwa jeshi la Israel lina kiwewe cha kuingia vitani tena na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon na kusisitiza kuwa, utawala huo unavichukulia kwa uzito mkubwa vitisho vya Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah. Mtandao wa habari wa News1 wa Kizayuni umeripoti habari hiyo na kuongeza…