Iran: Wazayuni hawaelewi lugha yoyote isipokuwa mabavu na vita
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni hauelewi lugha nyingine yoyote isipokuwa mabavu na vita. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Hossein Amir-Abdollahian amesema hayo leo Jumanne katika sherehe za kuenzi haki za binadamu na heshima ya mwanadamu hapa mjini Tehran na kuongeza kuwa,…
Sheikh Naim Qassem: Israel haina budi kutambua rasmi haki za maliasili za Lebanon
Naibu Katibu MKuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hauna budi kuzitambua rasmi haki za Lebanon zinazohusiana na utajiri wa maliasili za baharini. Sheikh Naim Qassem ameyasema hayo katika majlisi kuu ya Ashura na kusisitiza kuwa, Wamarekani inawapasa waache kushirikiana na Wazayuni katika kutafuta na kuchimba gesi katika eneo la…
Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel
Wizara ya Intelijensia ya Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya utawala wa Israel katika miezi ya hivi karibuni sambamba na kuzima idadi kubwa ya njama za utawala huo wa Tel Aviv na waitifaki wake magaidi dhidi ya Iran. Waziri wa Intelijensia Esmail Khatib ameyasema hayo Jumatano mjini Tehran katika mkutano na Spika wa Majlisi…
Sana’a: Mzingiro dhidi ya Yemen unazuia kurefushwa muda wa usitishaji vita
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Sana’a amelaani kuzingirwa wananchi wa Yemen na kuitaja hatua hiyo kuwa inazuia kurefushwa muda wa usitishaji vita nchini humo. Usitishaji vita uliofikiwa kati ya serikali ya Sana’a na muungano vamizi dhidi ya Yemen unaoongozwa na Saudia ulianza kutekeleza Aprili Pili; na Hans Grundberg Mjumbe wa Umoja…
Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 40 ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, juzi usiku (tarehe 25 Julai) alizungumza na televisheni ya al-Mayadeen kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa kuasisiwa Hizbullah, ambapo nukta kadhaa za kistratijia zilijadiliwa. Jambo la kwanza lilikuwa kwamba Hiizbullah ya Lebanon imejiimarisha katika mlingano wa nguvu. Uwezo huo ni mkubwa kiasi kwamba adui Mzayuni anafahamu…
MwananchiMaoni Na Uchambuzi Tanzania katikati ya mgogoro wa Mashariki ya Kati
Palestina ni Taifa ambalo limekuwepo kwa muda mrefu lakini haitambuliki kama nchi popote duniani. Jumuiya za kimataifa hazilitambui Taifa hilo ambalo limemezwa na nchi ya Israel na halipo kabisa katika ramani ya uso wa dunia. Ni Taifa ambalo halina serikali yake. Sehemu kubwa ya ardhi yake imetwaliwa na Waisraeli. Umoja wa Mataifa (UN) haulitambui Taifa…
Nasrullah: Maeneo yote ya Israel yapo katika shabaha ya makombora ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema makombora yenye usahihi mkubwa katika kulenga shabaha ya harakati hiyo ya muqawama yana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya utawala haramu wa Israel; baharini au ardhini. Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah amesema hayo katika mahojiano na televisheni ya al-Mayadeen yaliyorushwa jana usiku kwa mnasaba…
Waislamu wa Tanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kulaani jina za Israel
Upendo na na hisia ya Waislamu wa Tanzania kwa Palestina huonekana katika mambo kadhaa moja wapo ni hili hapa. Waislamu nchini Tanzania na wapenda amani katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki leo wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni…