Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel
Tanzania imetangaza rasmi kupinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel. Akizungumza na gazeti la The Citizen, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Augustino Mahiga amesema Tanzania kama ilivyo kwa jamii yote ya kimataifa haitambui Jerusalem…
BAKWATA lalaani unyama wa Israel, lawataka Waislamu wote Tanzania kuliombea nusra taifa la Palestina
Huu ulikuwa ni ulikuwa ni moja wapo wa Misimamo ya Bwakwata kuhusu Palestina. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limelaani vitendo vya kinyama na uadui vinavyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa taifa madhulumu la Palestina vikiwemo vya kuua raia wasio na hatia. Kupitia tamko lililosomwa leo Alkhamisi na Sheikh…
Tanzania kuitumia Israel kutatua mgogoro wa Palestina
Haya yalikuwa ni maoni na mawazo ya mmoja wa Wanasiasa wa Tanzania kuhusu Palestina na Israel. Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Damas Ndumbaro amesema Tanzania haitaitenga Israel katika mchakato wa kusaka amani katika mgogoro wake na Palestina. Hivi karibuni Balozi wa Palestina nchini Tanzania,…
Kukiri wataalamu wa Kizayuni kuwa uwezo wa nyuklia wa Iran hauwezi kuharibiwa kijeshi
Katika kujibu maneno ya Dakta Kamal Kharrazi Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Iran na Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Sera za Kigeni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mkuu wa Majeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel amezungumzia kile amekitaja kuwa tishio la Iran na chaguo la kijeshi na kusema chaguo…
Silaha za Kizayuni zilizosafirishwa kwenda Morocco; Kutoka Pegasus miongoni mwazo; ndege zisizo na rubani
Gazeti la Kizayuni lilifichua habari kuhusiana na kiwango na aina ya silaha zinazosafirishwa kwenda Morocco, sawia na safari ya Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la utawala huo alipotembelea nchi ya Morocco. Wakati huo huo Aviv Kokhavi, Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Kizayuni alitembelea nchi ya Morocco siku ya Jumatatu mnamo wiki hii, hii ikiwa…
‘Ushindi wa Palestina ni ushindi wa dunia’
BALOZI wa Palestina hapa nchini, Dk Nasri Abujaish amesema ushindi iliyoupata nchi yake baada ya kupigiwa kura na hatimaye kuipandisha hadhi ni ushindi wa dunia nzima katika kupigania haki za binadamu, uhuru na amani. Dk Abujaish aliyasema hayo juzi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za ubalozi huo, zilizopo Upanga ,jijini Dar es…
Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina
Haya ni maneno ya Baraza la Kuu la waislamu Tanzania (Bakwata) wakionyesha mshikamano wao na Waislamu wenzao wa Palestina.Dar es Salaam. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka Waislamu wote nchini kuitumia sala ya Ijumaa kufanya dua maalumu kuliombea Taifa la Palestina lenye mgogoro dhidi ya Israel. Mbali na hilo, amewataka pia kufanya dua ya…
Watanzania waitwa kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina
Haya ni maneno ya Balozi wa Palestina nchini Tanzania alipowaita Watanzania kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina. Dar es Salaam. Ubalozi wa Palestina nchini umewakaribisha Watanzania kufanya tafiti zaidi kuhusu mgogoro wa Mashariki ya Kati ili kujua ukweli wa historia kati ya Israel na Palestina. Wito huo umetolewa na balozi wa Palestina nchini, Hamdi Mansour AbuAli…