
Kusalimu amri utawala wa Kizayuni mbele ya upinzani wa wananchi wa Eritrea
Waziri Mkuu wa muda wa utawala haramu wa Israeli, Yair Lapid, ametoa amri ya kufungwa kwa ubalozi wa utawala huo nchini Eritrea baada ya viongozi wa nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika kukataa kumpokea balozi mpya wa utawala huo haramu kwa miaka miwili sasa. Katika miaka ya hivi karibuni, utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka…

Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania walaani mauaji ya mwandishi wa Al-Jazeera
Dar es Salaam. Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania unalaani vikali mauaji ya kikatili ya Israel yaliyomlenga mwandishi wa habari mkongwe wa Al-Jazeera, Shireen AbuAqla katika kambi ya wakimbizi ya Jenin. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ubalozi huo Mei 11, 2022, wanajeshi wa Israel walimpiga risasi Shireen kichwani. Mwandishi huyo aliuawa wakati akiripoti uhalifu wa…

Tanzania inaathirikaje Jerusalem ukiwa mji mkuu Israel
Huu ni uchambuzi uliotolewa na mchambuzi wa Gazeti Mwananchi kuhusu kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem akisema: Hivi karibuni Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kwamba ubalozi wake utahamishwa kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem. Akitetea uamuzi huo, Trump alisema ulishapitishwa na Baraza la Congress…

Uungaji mkono wa wanazuoni wa Bahrain kwa mpango wa Sheikh Isa Qassim; umoja wa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa
Kwa kuunga mkono taarifa iliyotolewa na Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kidini, dhidi ya utawala wa Aal Khalifa, wanazuoni wa Bahrain wamesisitiza udharura wa kuwepo umoja miongoni mwa wapinzani wa utawala wa kidikteta wa nchi hiyo. Tangu Februari 2011 hadi sasa, Bahrain imekuwa ikishuhudia maandamano na mapambano ya wananchi dhidi ya utawala wa kidikteta wa…

Ukatili ambao Wazayuni wanawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa
Mwakilishi wa kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, ukatili wa mtawalia na wa kimfumo ambao utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa. Katika kuhakikisha unafikia malengo yake ya kujipanua, utawala wa Kizayuni kila siku unavamia maeneo tofauti ya Palestina na kuwaua shahidi, kuwajeruhi au…

Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama
Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda. Kundi la kigaidi la Munafikina (MKO) limehusika katika mauaji ya Wairani zaidi ya elfu 17, wakiwemo wabunge, maafisa wa ngazi za juu wa kiserikali na kijeshi, raia wa kawaida…

Ripoti: Wazayuni wamewaua shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Ripoti mpya ya shirika moja la kutetea haki za watoto imesema askari makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi watoto 15 wa Palestina. Shirika hilo la kimataifa la Defense for Children International tawi la Palestina (DCI-P) lenye makao yake mjini Geneva limesema, mbali na watoto 15 wa Kipalestina kuuawa na wanajeshi wa…

Hania: Makombora 150 yatausambaratisha utawala wa Kizayuni chini ya dakika tano
Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa, msikiti wa al Aqsa unakaribia kukombolewa na kusisitiza kuwa, makombora 150 yatauangamiza utawala wa Kizayuni katika muda wa chini ya dakika tano. Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu umegeuzwa kuwa eneo la wanajeshi…