
Bin Salman awaruhusu Wazayuni kununua milki Makka na Madina
Tovuti ya Kimarekani ya Axios imesema, Marekani imekuwa ikifanya mazungumzo ya siri ya kupatanisha Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kufanikisha mpango wa kisaliti wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Tel Aviv na Riyadh. Kwa mujibu wa ripoti ya ‘Saudi Leaks’, Mohammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia ametoa…

Tel Aviv inasubiri kilichoandaliwa na Marekani kwa ajili ya maelewano ya kikanda
Waziri wa vita wa Israel Bani Gantz amesema Israel na mataifa ya Ghuba ya Kiarabu, Misri na Jordan yanatarajiwa kufanya kazi pamoja sio tu katika kukabiliana na Iran, bali wanapaswa kuunda nguvu ya kikanda inayoongozwa na Marekani ili kuimarisha nguvu za pande zote zinazohusika, na jitihada zinafanywa kupanua ushirikiano huu. Akielezea wakati wa kuimarishwa kwa nguvu…

Jenerali wa Kizayuni akiri: Israel haitashinda katika vita vijavyo
Jenerali mmoja wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ameashiria udhaifu wa jeshi la utawala huo na kusisitiza kuwa, endapo hali hiyo haitabadilika, Israel haitashinda katika vita vijavyo. Kwa mujibu wa chaneli ya 14 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni, Yitzhak Barik, jenerali mkongwe katika jeshi la utawala haramu wa Israel na mkuu wa…

Mpalestina mmoja auawa na wengine 6 kujeruhiwa kujeruhiwa katika shambulio la Wazayuni mjini (Jenin)
Wanamgambo wa Kizayuni wamemuua mpiganaji mmoja wa muqawama na kuwajeruhi wengine sita katika shambulio lililotokea katika mji wa Yabd, Jenin. Vyombo vya habari vya Palestina viliripoti Alhamisi asubuhi kwamba utawala wa muda wa Kizayuni umeushambulia kinyama mji wa Jenin ulioko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Wavamizi hao waliweka kizuizi cha kuhama karibu na kituo cha…

Balozi wa Iran atoa Pongezi kwa bunge la Iraq kwa kupitisha sheria inayoharamisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Balozi mpya wa Iran nchini Iraq, Mohammad Kazem al-Sadegh, amewapongeza wabunge wa Bunge la Iraq kwa kuipigia kura sheria inayoharamisha uhusiano na utawala ghasibu wa Kizayuni. Al-Sadegh aliandika katika ukurasa wake wa kibinafsi wa Twitter: “Tunawapongeza wawakilishi wa taifa ndugu la Iraq katika bunge kwa kuipigia kura sheria ya kihistoria inayoharamisha uhusiano na utawala huo…

Rasmi; Kurejesha uhusiano na utawala wa Kizayuni imekuwa ni kosa la jinai nchini Iraq, Bunge la Iraq lapitisha kwa kauli moja !
kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Habari la Fars, kurejeshwa kwa uhusiano na utawala wa Kizayuni imekuwa jinai nchini Iraq na Bunge la Iraq mnamo siku ya Alhamisi Tar. 26 Mei, limepitisha kwa kauli moja sheria inayoharamisha uhusiano na utawala wa Kizayuni. Rasmi; Kurejeshwa kwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Iraq kumekuwa jinai…

Wazayuni wampiga risasi za kichwa kijana wa Kipalestina na kumuua kishahidi
Wizara ya Afya ya Palestina ilitangaza kuwa jeshi la Israel lilimpiga risasi na kumuua kijana mmoja wa Kipalestina huko Nablus. Kituo cha habari cha Al-Jazeera kiliripoti Jumatano asubuhi kwamba Wapalestina wasiopungua 77 walijeruhiwa wakati wa maandamano na mapigano kati ya Wapalestina na vikosi vya Israel karibu na kaburi la Nabii Yusuf (as) huko Nablus. Wizara…

Utawala wa Kizayuni wammtumia binti wa Kipalestina kama ngao ya binadamu
Utawala wa muda wa Kizayuni ulimtumia msichana wa Kipalestina kama ngao ya binadamu dhidi ya gari la kijeshi wakati wa shambulio la mji wa Jenin. Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Habari la Fars News, Harakati ya Kimataifa ya Utetezi wa watoto / Tawi la Palestina la Harakati ya Kimataifa ya Kutetea Watoto limesema…