Vituo

The Independent: 92% ya Waislamu wa Uingereza hawana amani

The Independent: 92% ya Waislamu wa Uingereza hawana amani

Uchunguzi wa maoni uliofanywa na kuchapishwa na gazeti la The Independent la Uingereza unaonyesha kuwa, asilimia 92 ya Waislamu wa nchi hiyo hawahisi kuwa na amani. Uchunguzi huo wa maoni unaeleza kuwa, asilimiia 92 ya Waislamu wanahisi kutokuwa amani kabisa ya kuishi nchini Uingereza. Kulingana na uchunguzi wa maoni uliofanywa na  shirika la Muslim Census…

Serikali yatoa wito kwa Wakenya nchini Lebanon kuhama

Serikali yatoa wito kwa Wakenya nchini Lebanon kuhama

Nchi kadhaa zimewataka raia wao kuondoka nchini Lebanon, huku hofu ikiongezeka ya mzozo mkubwa katika ukanda wa Mashariki ya Kati. Serikali ya Kenya kupitia Idara ya Mambo ya Nje ya Masuala ya Diaspora, imetoa wito kwa raia wake wanaoishi na kufanya kazi nchini Lebanon kujiandikisha ili kuhamishwa mara moja kutokana na hali ya mvutano inayoongezeka…

Teknolojia ya Microsoft ya US yakumbwa na hitilafu na kuitikisa dunia

Teknolojia ya Microsoft ya US yakumbwa na hitilafu na kuitikisa dunia

Hitilafu kubwa ya kiteknolojia iliyotokea asubuhi ya leo Ijumaa imesababisha mashirika makubwa ya ndege duniani kusitisha safari zao, mabenki kushindwa kutoa huduma kwa wateja, vyombo vya habari vya kimataifa kushindwa kurusha matangazo yao pamoja na kusimama kwa huduma nyingine nyingi zinazoendeshwa kwa kutumia teknolojia. Hitilafu hiyo imesababishwa na matatizo ya kiufundi yaliyoikumba Kampuni ya Kimarekani…

Marekani, Umoja wa Ulaya Waichagua Kenya Kujiunga Katika Mapambano Dhidi ya wa Houthi

Marekani, Umoja wa Ulaya Waichagua Kenya Kujiunga Katika Mapambano Dhidi ya wa Houthi

Marekani na Umoja wa Ulaya zaichagua Kenya kujiunga na Ushelisheli katika kukabiliana na washukiwa wa baharini kando ya Bahari ya Hindi. Hii ni baada ya nchi kadhaa kuzua taharuki kutokana na vitisho vinavyotolewa na kundi la wa Houthi kutoka nchini Yemen na wengine kutoka Somalia. Kulingana na Jeshi la Wanamaji la Umoja wa Ulaya, Kenya…

Gazeti la New York Times lapinga madai ya Israel kuhusu Hospitali ya Al-Mohamedani

Gazeti la New York Times lapinga madai ya Israel kuhusu Hospitali ya Al-Mohamedani

Gazeti la The New York Times lilichapisha ripoti siku ya Jumatano (leo) na likakataa kurejelea mamlaka ya Kizayuni kwenye baadhi ya video ili kuvilaumu vikosi vya muqawama vya Palestina kwa kulenga hospitali ya al-Mu’amdani. Katika ripoti ya uchunguzi kuhusu kulengwa hospitali ya Al-Momadani mjini Gaza, gazeti hilo la Marekani limekanusha madai ya utawala wa Kizayuni…

Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la Iran Press, Joshua Gatimu, Balozi wa Kenya nchini Iran alizitembelea kampuni hizo za uzalishaji yakiwemo mashirika ya kuzalisha dawa jijini Arak…

Hatua ya Wizara ya Mambo Kigeni ya Marekani katika shambulio la polisi wa Albania kwenye makao makuu ya kundi la kigaidi la wanafiki

Hatua ya Wizara ya Mambo Kigeni ya Marekani katika shambulio la polisi wa Albania kwenye makao makuu ya kundi la kigaidi la wanafiki

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari vya Marekani, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alitoa jibu kuhusiana na shambulio la polisi wa Albania kwenye makao makuu ya kundi la kigaidi la wanafiki waliopo kwenye Kambi ya Ashraf. Tovuti ya Fox News imemnukuu msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani,…

Mataifa ya Afrika kuharakisha utumiaji wa vitambulisho vya kidijitali

Mataifa ya Afrika kuharakisha utumiaji wa vitambulisho vya kidijitali

Mataifa ya Afrika jana Jumanne yalianza mkutano wa siku tatu katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi kujadili njia za kuharakisha utumiaji wa vitambulisho vya taifa vya kidijitali ili kuimarisha utoaji wa huduma za serikali. Mkutano Mkuu wa 7 wa ID4Africa Augmented General (AGM) umezileta pamoja serikali, washirika wa maendeleo na wabunifu katika mkuktano huo wa…