Kujiepusha na Mambo Yasiokua na Faida ni Aina ya Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Mei, 5 2023 HOTUBA YA KWANZA: AYA AMBAYO UKIIFANYIA KAZI NI SAWA NA KUTEKELEZA DINI KIUKAMILIFU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na…
Matarajio tofauti kutoka kwenye mkutano wa Doha kuhusu Afghanistan
Doha, mji mkuu wa Qatar, ambayo katika miaka ya hivi karibuni umekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mikutano mbalimbali kuhusu Afghanistan, kuanzia jana ulikuwa tena mwenyeji wa mkutano wa siku mbili unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ambao unahudhuriwa na wawakilishi maalumu wa nchi 25 na mashirika ya kimataifa yanayojihusisha na…
Kauli ya chuki dhidi ya Iran ya waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni mjini Brussels
Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni aliyezuru Brussels alikariri shutuma dhidi ya Tehran na kudai kuwa Umoja wa Ulaya umekaribia misimamo ya Tel Aviv kuhusu Iran. “Eli Cohen”, Ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni, alisafiri hadi Brussels, mji mkuu wa Ubelgiji, nakudai katika chapisho kwenye mtandao waTwitter…
Idadi ya vifo vya wafuasi wa kanisa lenye utata Kenya yafikia 89
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Profesa Kithure Kindiki amesema, mauaji ya waumini wa Kanisa la kijiji cha Shakahola kilichoko katika Kaunti ya Kilifi ni hatua ya mabadiliko makubwa na muhimu kwa nchi hiyo kuhusu jinsi ya kushughulikia masuala ya usalama yanayosababishwa na waasi wa kidini. Kindiki ameyasema hayo huku ripoti kutoka nchini Kenya…
Mpalestina Khader Adnan akata roho na kufa shahidi akiwa ndani ya gereza la Israel
Wizara inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa mateka na walioachiwa huru imetangaza kuwa Sheikh Khader Adnan, mfungwa Mpalestina amekata roho na kufa shahidi ndani ya gereza la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Adnan, mmoja wa viongozi wa harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina, alikamatwa na utawala wa Kizayuni Februari 5 na kuamua kususia kula kwa muda wa…
Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu kusambaratika hali ya kibinadamu nchini Sudan
Martin Griffiths, mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kabla ya kuelekea nchini Sudan kwamba hali ya kibinadamu nchini humo ni mbaya sana kiasi kwamba imefikia kwenye hatua ya kusambaratika kabisa. Amesema, utatuzi wa mgogoro wa Sudan hauwezi kupatikana kutokana na kuendelea vita hivyo. Afisa huyo wa ngazi za juu wa Umoja…
Wasia wa Shahidi Khizr Adnan
“Esraa Al-Bahisi” ripota wa Habari ameripoti kuhusu wasia ulioandikwa na mfungwa wa Kipalestina na shahidi mwanajeshi Khizr Adnan kabla ya kuuawa shahidi. Usia ulioandikwa na shahidi Sheikh Khizr Adnan kwa mkewe, watoto wake na watu wote waliodhulumiwa wa Palestina ni kama ifuatavyo: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema “Wale walioamini hawana khofu juu…
Raia watatu wajarehiwa katika shambulio la Wazayuni dhidi ya Syria
Shambulio la alfajiri la utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria lilisababisha kujeruhiwa kwa raia watatu na kuchomeka kwa kituo cha mafuta pamoja na meli kadhaa za mafuta na lori moja. Kufuatia shambulio la mapema asubuhi la utawala wa Kizayuni katika viunga vya mji wa Homs, chanzo cha kijeshi cha Syria kilitoa ufafanuzi kuhusiana na hilo….