Ansarullah: Vita vya Sudan ni mwendelezo wa vita vya Yemen / Msimamo mbaya wa Washington katika mazungumzo kati ya Riyadh na Sana’a
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa: Mgogoro wa Sudan ni sawa na mgogoro wa Yemen, na wale wanaopigana huko Sudan leo walipigana huko Yemen kabla ya hapo. “Mohammed Al-Bakhiti” alisema katika mahojiano na mtandao wa Al-Mayadeen kwamba mgogoro wa Sudan uko kando ya mstari wa mgogoro wa Yemen,…
Rasimu ya azimio la Umoja wa Mataifa la kuondoa marufuku ya elimu kwa wanawake na wasichana nchini Afghanistan
Azimio la Umoja wa Mataifa linalowataka wapiganaji wa Taliban kuondoa haraka vikwazo vinavyoongezeka kwa wanawake na wasichana na kulaani marufuku ya wanawake wa Afghanistan wanaofanya kazi katika Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupigiwa kura na Baraza la Usalama siku ya Alhamisi. Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, kilichonukuliwa na Associated Press, leo (Alhamisi) azimio litapigiwa kura…
Maandamano ya maelfu ya Wazayuni yanaendelea katika ardhi za Palestina
Maelfu ya Wazayuni wameendelea na maandamano yao ya kumpinga waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, katika miji ya Quds na Tel Aviv licha ya kuweko sherehe za miaka 75 ya kuasisiwa utawala haramu na pandikizi wa Israel. Tangu miezi minne nyuma, Wazayuni wanafanya maandamano kila wiki kupinga marekebisho ya serikali ya Benjamin Netanyahu…
Shambulio la silaha dhidi ya ofisi ya chama cha Erdogan mjini Istanbul
Vyombo vya habari vya Uturuki viliripoti kwamba watu wasiojulikana waliokuwa na silaha walishambulia moja ya ofisi za uchaguzi za chama tawala cha Haki na Maendeleo mjini Istanbul. Gazeti la “Daily Sabah” liliripoti Jumamosi kwamba ofisi ya uchaguzi ya Chama tawala cha Haki na Maendeleo cha Uturuki mjini Istanbul ililengwa na kundi la watu wasiojulikana wenye…
Meli ya Norway ikiwa njiani kwa ajili ya kuvunja kizuizi cha Gaza
Wanaharakati wa kimataifa na wafuasi wa taifa la Palestina wanapanga kutuma meli mpya katika Ukanda wa Gaza, kwa mara nyingine tena ili kuvunja vizuizi hivyo. Muungano wa “Freedom Fleet Coalition” umetangaza utayarifu wa meli mpya kuanza kusafiri kutoka bandari za nchi za Ulaya, ambayo itaanza safari yake kuelekea Ukanda wa Gaza katika mfumo wa juhudi…
Zaidi ya waumini 100,000 wahudhuria swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa
Makundi tofauti ya wananchi wa Palestina wamefanya ibada ya Swala ya Eid al-Fitr katika maeneo tofauti ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu Ijumaa asubuhi ya leo. Takriban watu 120,000 waliswali swala ya Idi katika Msikiti wa Al-Aqsa. Licha ya utayarifu kamili wa jeshi la Kizayuni katika Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu na kuunda vizuizi vya kijeshi na…
Sherehe za upandishaji bendera ya utawala wa Kizayuni mjini Sydney zazua matatizo
Wakaazi kutoka kote Sydney watahudhuria mkutano wa Jumanne usiku wa Halmashauri ya Jiji la Randwick ili kuhimiza baraza hilo kubatilisha uamuzi huo. Kwa mujibu wa Mtandao wa Habari wa Al-Alam ulionukuliwa na Shirika la Habari la Associated Press, baadhi ya wananchi watakusanyika nje ya ukumbi wa kikao cha Baraza la Mji wa Randwick mjini Sydney,…
Maelezo ya makubaliano ya kubadilishana wafungwa wa Yemen kutoka kwa maneno ya mkuu wa kamati ya masuala ya wafungwa wa Yemen
Mkuu wa Kamati ya Wafungwa wa Serikali ya Kitaifa ya Wokovu ya Yemen amesisitiza kuwa Mabadilishano ya wafungwa wa Yemen ni oparesheni ya pili kwa ukubwa ni zoezi la kubadilishana wafungwa lililofanyika kupitia Umoja wa Mataifa na zoezi hili lilidumu kwa mda wa siku 3. Katika oparesheni hii, zaidi ya wafungwa 700 kutoka jeshi na…