Vyombo vya Habari

Maelfu wakimbia Sudan huku usitishaji mapigano ukigonga mwamba

Maelfu wakimbia Sudan huku usitishaji mapigano ukigonga mwamba

Maelfu ya wananchi wa Sudan wanakimbia mapigano yanayoendelea nchini humo leo yakiingia katika siku ya sita baada ya kugongwa mwamba jitihada za kusitisha mapigano. Hii ni mara ya pili ambapo usitishaji vita unakiukwa huko Sudan kati ya jeshi la taifana kundi lenye nguvu la wanajeshi wa Kikosi cha Radiamali ya Haraka (RSF). Maelfu ya wakazi…

Mmoja wa makamanda wa utawala wa Kizayuni afutwa kazi baada ya kushindwa kumtia mbaroni kijana wa Kipalestina

Mmoja wa makamanda wa utawala wa Kizayuni afutwa kazi baada ya kushindwa kumtia mbaroni kijana wa Kipalestina

Kamanda wa kitengo cha vikosi vya siri vya utawala wa Kizayuni alitimuliwa kwa kushindwa kumkamata kijana wa Kipalestina anayeishi Jenin na kuhatarisha maisha ya askari waliokuwa chini yake pasi na sababu. Shirika la habari la Sama la Palestina limenukuu gazeti la Yediot Aharonot na kuandika: Meja Jenerali Amir Cohen, Mkuu wa Polisi wa mpaka wa…

Hadithi kuhusu “mshtuko wa ubongo” kwa wanajeshi wa Amerika?

Hadithi kuhusu “mshtuko wa ubongo” kwa wanajeshi wa Amerika?

Kamandi Kuu ya Marekani ilitangaza kwamba wanajeshi 23 wa Kimarekani nchini Syria walipatwa na mshtuko wa ubongo kutokana na mashambulizi ya watu waliokua na silaha mnamo mwezi wa Machi mwaka jana. Amri hii ilisema katika taarifa: Kesi 11 mpya za mishtuko midogo midogo zimesajiliwa katika vikosi vya Amerika wakati wa shambulio la Machi 23 na…

Tovuti 60 za utawala wa Kizayuni zililengwa katika shambulio la kimtandao

Tovuti 60 za utawala wa Kizayuni zililengwa katika shambulio la kimtandao

Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni viliripoti Jumamosi usiku kwamba tovuti 60 za utawala huu ziliharibiwa na mashambulizi ya mtandaoni katika muda wa siku 2 zilizopita. Kanali ya 12 ya utawala wa Kizayuni imeripoti kuwa, shambulio hilo la mtandao ni shambulio kubwa zaidi katika miaka ya hivi karibuni ambalo limelenga mkusanyiko mkubwa wa tovuti…

Mafuriko Burundi: Maelfu ya familia zaachwa bila makazi

Mafuriko Burundi: Maelfu ya familia zaachwa bila makazi

Mafuriko yaliyoikumba Burundi kwa takribani wiki nzima katika sehemu moja magharibi mwa nchi hiyo yamepelekea maelfu ya watu kubakia bila makazi. Ripoti zinaeleza kuwa, katika kipindi cha wiki mafuriko yamesababisha maelfu ya familia kupoteza makazi katika eneo la magharibi mwa Burundi ambako kuna mto unatenganisha nchi hiyo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Afisa mmoja…

Mihadhara kutoka kwa shakhsia tofauti tofauti ulimwenguni na mhimili wa upinzani katika mpango wa  “Minbar ya al-Quds al-alami”

Mihadhara kutoka kwa shakhsia tofauti tofauti ulimwenguni na mhimili wa upinzani katika mpango wa “Minbar ya al-Quds al-alami”

Katika mkesha wa Siku ya Quds Duniani, Mitandao ya Habari ilianza kuwasilisha maoni ya viongozi na shakhsia wa kisiasa wa Ulimwengu wa Kiislamu kuhusu Quds katika harakati ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama kwa kutangaza moja kwa moja kipindi cha “Minbar ya al-Quds”. . Katibu Mkuu wa Islamic Jihad: Tunafanya upya…

Mkuu wa CIA: Marekani imesikitishwa na kuboreka uhusiano wa Saudia na Iran, Syria

Mkuu wa CIA: Marekani imesikitishwa na kuboreka uhusiano wa Saudia na Iran, Syria

Mkurugenzi wa Shirika Kuu la Kijasusi la Marekani, CIA, William Burns ameripotiwa kusikitishwa na hatua ya Saudi Arabia kufikia mapatano ya kurejesha uhusiano na Iran na Syria huku weledi wa mambi wakiashiria kupungua kwa ushawishi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi. Kwa mujibu wa gazeti la Wall Street Journal, mkuu huyo wa ujasusi nchini…

Polisi nchini Kenya wakabiliana na waandamanaji wa upinzani huku huduma na biashara zikisimama

Polisi nchini Kenya wakabiliana na waandamanaji wa upinzani huku huduma na biashara zikisimama

Wapinzani nchini Kenya wamefanya tena maandamano leo dhidi ya serikali kwa ajili ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha. Maanadamano hayo yamefanyika tena leo baada ya upinzani kuapa kuwa maandamano hayo yatafanyika licha ya marufuku ya Jeshi la Polisi. Vikosi vyya usalama jijini Nairobi vimekabiliana na waandamanaji hao na kuwatawanya vikitumia mabomu ya gesi ya…