Vyombo vya Habari

UN: Ongezeko la msako unaowaandama watetezi wa haki nchini Burundi linatia hofu kubwa

UN: Ongezeko la msako unaowaandama watetezi wa haki nchini Burundi linatia hofu kubwa

Ofisi ya Kamishna wa Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema ina hofu kubwa juu ya ongezeko la msako dhidi ya watetezi wa haki nchini Burundi kufuatia kuswekwa korokoroni hivi karibuni kwa watetezi watano wa haki za binadamu na kufungwa jela kwa mwandishi wa habari. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswi, msemaji…

Aghalabu ya nchi za Kiislamu zatangaza Alhamisi kuwa siku ya kwanza ya Ramadhani

Aghalabu ya nchi za Kiislamu zatangaza Alhamisi kuwa siku ya kwanza ya Ramadhani

Nchi nyingi za Kiislamu katika eneo la Asia Magharibu au Mashariki ya Kati zimetangaza Alhamisi, Machi 23, kuwa mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Kamati ya Istihlal (kuutafuta mwezi mwandamo) ya Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza kuwa Alhamisi ya kesho  23 Machi itakuwa siku ya…

Kiongozi Muadhamu: Maadui wanataka kubadilisha utambilisho wetu

Kiongozi Muadhamu: Maadui wanataka kubadilisha utambilisho wetu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maadui wanapinga Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khomeini (MA), na maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu kila mwaka, sambamba na kuupinga mfumo wa Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran; na kusisitiza kuwa, lengo la maadui ni kubadilisha utambulisho wa taifa hili na Mapinduzi ya Kiislamu, na badala yake walete demokrasia bandia…

Saudi Arabia imelaani kauli za Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni kuhusu Palestina

Saudi Arabia imelaani kauli za Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni kuhusu Palestina

Katika taarifa yake siku ya Jumanne, Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imelaani matamshi ya matusi na ya kibaguzi yaliyotolewa na Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Saudi Arabia imesema kuwa kuita matamshi yaliyo kinyume na ukweli kueneza matamshi ya chuki na…

Kadhaa wajeruhiwa na kukamatwa katika maandamano ya wapinzani Kenya, Afrika Kusini

Kadhaa wajeruhiwa na kukamatwa katika maandamano ya wapinzani Kenya, Afrika Kusini

Maafisa usalama nchini Kenya wametumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kukabiliana na wafuasi wa kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga, ambao wamejitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya nchi nzima dhidi ya serikali ya Rais William Ruto. Vikosi vya polisi wa kutuliza ghasia nchini Kenya vimeingia mitaani kukabiliana na maandamano…

Namna Ya Kusaidiana Katika Wema na Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Namna Ya Kusaidiana Katika Wema na Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 17, 2023 HOTUBA YA 1:NAMNA YA KUSAIDIANA KATIKA WEMA NA UCHA MUNGU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…

Uwezekano wa kutumwa kwa wanajeshi 300,000 wa NATO barani Ulaya ili kukabiliana na Urusi

Uwezekano wa kutumwa kwa wanajeshi 300,000 wa NATO barani Ulaya ili kukabiliana na Urusi

Duru za habari zilidai kuwa NATO inapanga kuimarisha mipaka yake ya mashariki na kutuma kiasi cha wanajeshi 300,000 katika nchi zinazopakana na Urusi. Vyanzo vya habari vilidai Jumapili kuwa NATO inapanga kusimamisha Urusi ikiwa itaamua kupanua vita zaidi ya Ukraine. Kwa sababu hiyo, muungano unaoongozwa na Marekani unapanga kuimarisha mipaka yake ya mashariki na kutuma…

Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lafanyika visiwani Zanzibar, Tanzania

Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lafanyika visiwani Zanzibar, Tanzania

Kongamano la siku mbili la Idhaa za Kiswahili Duniani limeendelea leo visiwani Zanzibar nchini Tanzania kwa mada mbalimbali zilizowasilishwa na wataalamu wa lugha hiyo kutoka pembe tofauti za dunia. Kongamano hilo lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) kwa kushirikiana na wadau wengine, limewaleta pamoja waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa…