Atakayemkabidhisha askari wa Ukraine aliyeivunjia heshima Qur’ani kuzawadiwa $168,000
Rais Madan Kadyrov, wa eneo la Russia linalojiendeshea mambo yake la Chechnya ametenga zawadi ya ruble milioni 10 za Kirusi ambazo ni sawa na dola 168,000 za Kimarekani kwa atakayefanikisha kukamatwa akiwa hai, askari wa jeshi la Ukraine aliyeivunjia heshima Qur’ani tukufu kwa kuichoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu. Tovuti ya kituo cha habari…
Kampuni ya Ufaransa yaacha tani milioni 20 za sumu nchini Niger, hofu yatanda
Kampuni moja ya Ufaransa inajitahidi kuondoa takriban tani milioni 20 za taka za sumu zenye mionzi ambazo zilisalia kufuatia kufungwa kwa shughuli zake katika migodi mikubwa ya madini ya uranium katika eneo la Arlit kaskazini mwa Niger. Kampuni kubwa ya nyuklia ya Ufaransa, Areva, ambayo ilibadilisha jina lake kuwa Orano, ilifanya kazi katika eneo la…
Safari ya Shamkhani UAE; harakati mpya katika diplomasia ya ujirani mwema
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Alkhamisi ya jana alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Imarati katika safari yake huko Abu Dhabi na kujadiliana naye kuhusu masuala yanayozihusu pande mbili na matukio muhimu zaidi ya kikanda na kimataifa. Katika mazungumzi hayo, Ali Shamkhani, abaye pia ni mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu…
Ugonjwa usiojulikana wazua wasiwasi mkoani Kagera, Tanzania, waua watu watano
Serikali ya Tanzania imetoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ambao bado haujajulikana Mkoani Kagera katika Wilaya ya Bukoba Vijijini ambapo watu 7 wanasadikika walipata dalili za homa, kutapika, kutokwa damu maeneo mbalimbali ya mwili na figo kushindwa kufanya kazi. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya ya Tanzania imesema watu watano kati ya saba waliopatwa…
Bolton: Tumekaa kimya katika kipindi ambacho Iran, China na Russia zinaimarisha mahusiano
Mshauri huyo wa zamani wa masuala ya usalama wa Marekani aliionya serikali ya Marekani kwamba kwa sasa mazingatio yetu yapo katika kuimarika kwa uhusiano kati ya Iran, China na Urusi. John Bolton, mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, aliionya serikali ya Marekani kwamba anatazama tu kupanuka kwa uwezo wa China duniani na…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akosoa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu
Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uenezaji hofu juu ya Uislamu na chuki za aina mbalimbali dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani. Akihutubia mkutano maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Uenezaji Chuki Dhidi ya Uislamu, Antonio Guterres alisema: Kuna idadi ya Waislamu karibu bilioni mbili duniani ambao…
Maoni tofauti kuhusu makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia
Taasisi na nchi mbalimbali zilikua na maoni tofauti kuhusu makubaliano kati ya Iran na Saudi Arabia. Qatar Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amempongeza Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran kwa kufikiwa kwa mapatano hayo. Siku ya Ijumaa, Mohammad bin Abdulrahman Al-Thani, katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Iran, alieleza kuridhishwa kwake…
Nyuma ya pazia na mienendo yenye kutia shaka ya Wamarekani katika majimbo inayokaliwa kwa mabavu ya Yemen
Sio siri kuwa Saudi Arabia imepata kipigo kikali baada ya kutumia makumi ya mabilioni ya dola katika vita visivyo na tija dhidi ya Yemen. Moja ya malengo ya Bin Salman kwa uchokozi wake huko Yemen ni kuwa karibu na duru za maamuzi za Marekani-Magharibi-Israel. Alitaka Salman aishambulie Yemen ili kukaribia zaidi matakwa ya duru hizi…