Vyombo vya Habari

Russia: Madai ya New York kuhusu milipuko ya Nord Stream ni upotoshaji

Russia: Madai ya New York kuhusu milipuko ya Nord Stream ni upotoshaji

Russia imetangaza kuwa madai yaliyotolewa na gazeti la New York Times kuhusu milipuko iliyotokea kwenye mabomba ya kusafirisha gesi ya Nord Stream ni ya kubuniwa na opotoshaji wa makusudi unaofanywa na wale wanaopinga uchunguzi wa kisheria kuhusu shambulio hilo. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameyasema hayo baada ya gazeti la “New…

Nafasi ya wanawake wa Yemen katika kupinga muungano wa uchokozi

Nafasi ya wanawake wa Yemen katika kupinga muungano wa uchokozi

“Najiba Motahar”, mshauri wa ofisi ya rais wa Yemen katika masuala ya wanawake amesema kuwa wanawake wa Yemen wamekuwa na nafasi muhimu katika kukabiliana na vita vilivyowekwa dhidi ya taifa la Yemen kwa kuendelea na muqawama wao na kuwaunga mkono wanaume wanaopigana mbele. Mtandao wa Habari wa Al-Alam ulimkaribisha Bi. Najiba Motahar, mshauri wa ofisi…

Madai ya Utawala wa Mtandao wa Kizayuni: Iran imepanga shambulio la mtandao kwenye Kituo cha Teknolojia cha Technion

Madai ya Utawala wa Mtandao wa Kizayuni: Iran imepanga shambulio la mtandao kwenye Kituo cha Teknolojia cha Technion

Utawala wa Mtandao wa Utawala wa Kizayuni ulidai kuwa shambulio la kimtandao kwenye seva za taasisi ya teknolojia ya utawala huu liliandaliwa na Iran mwezi uliopita. Kwa mujibu wa tovuti ya gazeti la Kizayuni la Ha’aretz, kwa mujibu wa utawala wa mtandao wa Israel, Iran ilipanga mashambulizi ya mwezi uliopita kwenye seva za Technion (Taasisi…

Umoja wa Mataifa wapongeza msamaha wa Kiongozi Muadhamu kwa wafungwa waliokamatwa wakati wa ghasia

Umoja wa Mataifa wapongeza msamaha wa Kiongozi Muadhamu kwa wafungwa waliokamatwa wakati wa ghasia

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Csaba Korosi amepongeza agizo la Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei la kutoa msamaha kwa idadi kubwa ya wafungwa wa Iran na kusema kuwa hatua hiyo inastahili kupongezwa. Korosi aliyasema hayo Jumanne alipokutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian kando…

Afrika Kusini: Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina zinakinzana na Hati ya Umoja wa Afrika

Afrika Kusini: Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina zinakinzana na Hati ya Umoja wa Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema kuhusu kufukuzwa ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa viongozi wa nchi za Afrika uliofanyika Addis Ababa huko Ethiopia kuwa utawala wa Kizayuni umetenda jinai nyingi dhidi ya Palestina na suala hilo ni kinyume na hati ya Umoja wa Afrika. Mkutano wa 36…

Zoezi la kuhesabu kura Nigeria, matokeo yaanza kutiririka

Zoezi la kuhesabu kura Nigeria, matokeo yaanza kutiririka

Zoezi la kuhesabu kura baada ya uchaguzi mkuu Nigeria linaendelea huku matokeo ya awali yakianza kuripotiwa baada ya kufanyika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali. Rais aliye madarakani Muhammadu Buhari hakugombea baada ya kutumikia mihula miwili inayotakiwa. Mgombea wa chama cha All Progressives Congress cha Buhari ni Bola Tinubu mwenye umri wa miaka 70 huku Atiku…

Viongozi watajika wa upinzani watiwa mbaroni nchini Tunisia

Viongozi watajika wa upinzani watiwa mbaroni nchini Tunisia

Polisi nchini Tunisia imewatia mbaroni viongozi kadhaa watajika wa upinzani nchini humo akiwemo Jaouhar Ben Mbarek mmoja wa wakosoaji wakuu wa Rais Kais Saied. Dada wa kiongozi huyo wa upinzani ambaye ni mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa harakati ya upinzani ya National Salvation Front (NSFT) amewaambia waandishi wa habari kwamba, kaka yake ametiwa…

Netanyahu: Tutaanzisha uhusiano na Saudi Arabia ili kuidhibiti Iran

Netanyahu: Tutaanzisha uhusiano na Saudi Arabia ili kuidhibiti Iran

Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni alitangaza kuwa utawala huu unajaribu kuanzisha uhusiano na Saudi Arabia ili “kuidhibiti Iran”. Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni leo (Jumatatu) amepongeza kuanzishwa uhusiano (kutangaza uhusiano) na serikali ya Saudi Arabia katika kongamano la wakuu wa mashirika ya Kiyahudi ya Marekani huko Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu. Kwa…