Vyombo vya Habari

kashfa ya Tel Aviv; Kikosi cha usaidizi cha Israeli chaiba nakala nchini Uturuki

kashfa ya Tel Aviv; Kikosi cha usaidizi cha Israeli chaiba nakala nchini Uturuki

Vyombo vya habari vya Uturuki viliripoti Jumapili usiku kwamba timu ya uokoaji na misaada iliyotumwa na utawala wa Kizayuni katika maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi nchini Uturuki iliiba nakala za kihistoria za nchi hiyo na kuzipeleka Tel Aviv. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la “Sama” la Palestina, tovuti ya habari ya…

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Dunia yawatelekeza wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Dunia yawatelekeza wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria

Mkurugenzi wa Umoja wa Mataifa wa kutoa misaada alikiri kwamba jumuiya ya kimataifa imeshindwa kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria. Kabla ya hili, viongozi wa Syria walikuwa wamekosoa misimamo miwili ya nchi za Magharibi na kazi zao za kisiasa kuhusu misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa tetemeko la ardhi nchini humo. Rais wa…

Idadi ya vifo katika tetemeko la ardhi la Uturuki yafikia 12,873

Idadi ya vifo katika tetemeko la ardhi la Uturuki yafikia 12,873

Makao Makuu ya Usimamizi wa Ajali na Matukio Yasiyotarajiwa ya Uturuki yametangaza Alhamisi hii asubuhi kwamba idadi ya hivi punde ya waliofariki kutokana na tetemeko baya la ardhi nchini humo, imefikia 12,873. Kwa mujibu wa mtandao wa “TRT” wa Uturuki, makao makuu ya usimamizi wa majanga ya Uturuki yametangaza kuwa idadi ya wahanga wa tetemeko…

Ujumbe wa hadharani wa Kizayuni mjini Riyadh wa kuunga mkono uhalalishaji !

Ujumbe wa hadharani wa Kizayuni mjini Riyadh wa kuunga mkono uhalalishaji !

Youssef Al-Awsi, mmoja wa wanaharakati mashuhuri wa Saudia ameandika kwenye Twitter kwamba ujumbe wa Kizayuni utashiriki rasmi katika kongamano la LEAP23 mjini Riyadh ili kuunga mkono kuhalalisha hali ya kawaida kati ya utawala wa Kizayuni na Saudi Arabia. Tweet ya Al-Awsi ilisema: “Kongamano kubwa la LEAP23 litafanyika Riyadh wiki ijayo, na makampuni ya Israel yatakuwepo…

Kadkhodaei: Operesheni ya kumsaka Pompeo na Trump itaendelea hadi haki ipatikane

Kadkhodaei: Operesheni ya kumsaka Pompeo na Trump itaendelea hadi haki ipatikane

Mjumbe wa Baraza la Walinzi wa Katiba nchini Iran ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba mchakato wa kuwafuatilia rais na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani unaendelea kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya maafisa wa Iran na Iraq. Mike Pompeo, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, amekiri…

Ujerumani yakosolewa kwa ujumbe wa Twitter wa kuidhalilisha Afrika

Ujerumani yakosolewa kwa ujumbe wa Twitter wa kuidhalilisha Afrika

Viongozi na watumiaji mitandao ya kijamii katika nchi za Afrika wameijia juu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani kwa kuchapisha ujumbe wa dharau na kulidhalilisha bara hilo. Ebba Kalondo, Msemaji wa Moussa Faki Mahamat, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika ameashiria ujumbe huo wa udhalilishaji wa Ujerumani dhidi ya Afrika na kusema kuwa, nchi…

Jenerali Mmarekani atabiri vita na China mwaka 2025, anawaambia maafisa wajitayarishe

Jenerali Mmarekani atabiri vita na China mwaka 2025, anawaambia maafisa wajitayarishe

Jenerali wa nyota nne wa Jeshi la Wanahewa la Marekani ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea mzozo wa kijeshi kati yake na China kuhusu eneo la Taiwan mapema mwaka 2025, na hivyo amewataka makamanda kushinikiza vikosi vyao kufikia utayari wa juu zaidi kwa operesheni za kijeshi. Katika taarifa iliyotolewa kwa mara ya kwanza kwa vyombo vya…

Guterres akosoa nafasi ya mtandao wa intaneti katika kueneza chuki

Guterres akosoa nafasi ya mtandao wa intaneti katika kueneza chuki

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba sehemu kubwa ya mtandao wa intaneti imekuwa dampo la taka za sumu zinazoeneza chuki na uongo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema katika taarifa yake kwamba mtandao wa intaneti una aina mbalimbali za chuki, ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya Uislamu, chuki dhidi ya…