Rais wa Argentina: Nchi za Amerika ya Latini hazitaipatia silaha Ukraine
Rais wa Argentina amesema kuwa nchi za Amerika ya Latini, kinyume na nchi za Magharibi, hazina mpango wa kuipatia Ukraine silaha kwa kisingizio cha vita vinavyoendelea nchini humo. Nchi za Ulaya na Magharibi kwa ujumla hasa Marekani zimezidisha vikwazo dhidi ya Shirikisho la Russia na zinaendelea kutuma aina mbalimbali za silaha nyepesi na nzito huko Ukraine na kuchochea…
Mauaji ya kikatili ya raia mwingine mweusi; ukatili usio na mwisho wa polisi wa Marekani Jan 29, 2023 08:18 UTC
Siku ya Ijumaa na baada ya kuchapishwa picha za kutisha za kupigwa kinyama Tyre Nichols, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 29 na polisi huko Memphis, katika jimbo la Tennessee, wimbi jipya la maandamano limeanza nchini humo na hasa katika miji ya Memphis, Boston, Chicago, Detroit, New York City, Portland, Oregon na Washington dhidi ya…
Iran yazima mashambulio ya droni katika mkoa wa Isfahan
Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu vimefanikiwa kuzima mashambulio ya ndege siziso na rubani (drone) dhidi ya kituo cha kijeshi katika mji wa Isfahan, katikati mwa nchi. Taarifa iliyotolewa leo Jumapili na Wizara ya Ulinzi ya Iran imeeleza kuwa, moja ya droni hizo (MAVs) ilishushwa chini na mfumo wa ulinzi…
Indhari ya UN: Njaa inatishia maisha ya mamilioni ya Wasyria
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetahadharisha kuhusu hatari inayotishia maisha ya mamilioni ya wananchi wa Syria kutokana na ukosefu wa chakula na njaa. Tokea mwaka 2011 hadi sasa Syria imeathiriwa na mgogoro wa mchafuko na ukosefu wa amani uliosababishwa na hujuma ya makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na kusaidiwa kwa hali…
Ufalme Bahrain wazuia maandamani ya kulaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu
Kundi kuu la upinzani nchini Bahrain, Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, limelaani utawala unaotawala wa kifalme wa ukoo wa Al Khalifa kwa kuwazuia Waislamu kufanya maandamano ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur’ani barani Ulaya. Siku ya Ijumaa, vikosi vya usalama vya Bahrain viliwakamata makumi ya raia waliokuwa wakienda kufanya maandamano hayo. Pia walifunga njia…
Wamauritania watoa wito wa kususiwa bidhaa za Uswidi baada ya kuvunjiwa heshima Qur’ani
Wananchi wa Mauritania wametoa wito wa kukatwa uhusiano kati ya nchi za Kiislamu na Uswidi kupinga kutendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu. Ni baada ya vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu siku za Jumamosi na Jumapili iliyopita katika nchi Uswidi na Uholanzi, ambapo watu wenye misimamo mikali walivunjia heshima na kuchoma moto nakala ya Qur’ani Tukufu…
Idadi ya waliouawa katika mripuko wa bomu Nigeria yafikia 40
Wafugaji 40 wa kabila la Fulani wamepoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa, baada ya bomu kuwaripukia katika kijiji cha Rukubi, katika mpaka wa majimbo ya Nasarawa na Benue, katikati ya Nigeria. Awali vyombo vya usalama vya Nigeria vilikuwa vimetaja idadi ya waliouawa kuwa ni 27, lakini taarifa zaidi zinasema, wahanga wa shambulio hilo wameongezeka. Msemaji…
Wamarekani waandamana kulalamikia mauaji ya raia mweusi yaliyofanywa na askari polisi
Wananchi wa mji wa Memphis nchini Marekani wameingia barabarani kupinga na kulalamikia mauaji ya raia mweusi yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo. Tyree Nichols, raia mweusi mwenye umri wa miaka 29, alikamatwa na kupigwa vibaya na polisi mnamo Januari 7 kwa madai ya kuendesha gari kihuni na kwa fujo. Alifariki baada ya kuwahishwa hospitali. Mamlaka…