2022; mwaka mbaya kwa waandishi habari duniani, waandishi habari wasiopungua 67 waliuawa
Waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari wasiopungua 67 waliuliwa kote ulimwenguni katika mwaka uliopita wa 2022. Mwaka uliopita wa 2022 unatajwa kuwa mwaka mbaya kwa waandishi wa habari ulimwenguni koye ambapo Ukraine ilikuwa nchi ya hatari zaidi kwa waandishi wa habari kufanya kazi zao. Mwaka 2022 ulikuwa mwaka mwingine uliosababisha vifo vya…
“Sweden haiwezi kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu kwa barakoa ya uhuru”
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu nchini Sweden na kueleza kuwa, nchi hiyo ya Magharibi haiwezi kuficha chuki zake dhidi ya Uislamu kwa kutumia barakoa ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Muhammad Baqer Qalibaf aliyasema hayo jana Jumanne wakati wa kikao cha wazi…
Kanada imezilipa fidia jamii za kiasili kwa sababu haikuwa na budi ila kufanya hivyo
Serikali ya Kanada imeafiki kulipa fidia ya dola bilioni 2.1 kwa waathiriwa wa jamii za kiasili ambao walikabiliwa na mateso katika shule za bweni kwa takriban karne moja. Fidia hiyo iliamuliwa kufuatia malalamiko ya makundi 325 ya wenyeji wa Kanada na fedha hizo zitawekwa katika mfuko maalumu. Fidia hiyo itatumika kwa ajili ya jamii za…
Mwanazuoni wa Qur’ani Mauritania Mohamed Mokhtar Ould Abah afariki dunia
Mwanazuoni wa ngazi za juu Mauritania ambaye amenadika tarjuma ya Qur’ani Tukufu Mohamed Mokhtar Ould Abah amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Msomi huyo, ambaye ametarjumu Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kifaransa, aliaga dunia Januari 22. Alizaliwa mwaka wa 1924 katika jimbo la Boutilimit la Mauritania na alihifadhi Qur’ani Tukufu akiwa kijana kisha…
Mkoloni kizee Mfaransa atimuliwa rasmi nchini Burkina Faso
Serikali ya Burkina Faso imeamua kusitisha mkataba wa kijeshi ulioruhusu wanajeshi wa Ufaransa wafanye wanalotaka nchini humo. Mkataba huo wa kijeshi ulikuwa umeipa nchi ya Ulaya ya Ufaransa haki kubwa kuliko hata raia wenyewe wa Burkina Faso. Ufaransa hivi sasa ina wanajeshi wake maalumu 400 katika nchi ya Afrika Magharibi. Serikali mpya ya Burkina Faso imesema,…
Afrika Kusini yatetea uamuzi wake kuhusu mazoezi ya kijeshi na Russia na China
Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ametetea uamuzi wa nchi yake wa kufanya mazoezi ya pamoja ya jeshi la majini kati yake na nchi kubwa za Russia na China mwezi ujao wa Februari katika pwani yake ya mashariki mwa nchni hiyo ya kusini mwa Afrika. Afrika Kusini ni mwanachama wa BRICS, kambi ya…
Mfalme wa Uswatini atuhumiwa kuhusika na mauaji ya kiongozi wa upinzani
Mauaji yaliyofanywa dhidi ya wakili wa haki za binadamu Thulani Rudolf Maseko aliyeuawa kwa kupigwa risasi akiwa nyumbani kwake tena mbele ya familia yake tarehe 21 mwezi huu wa Januari 21, yamezua malalaiko makubwa dhidi ya mfalme wa Eswatini, Mswati III Vyombo vya habari viliripoti Jumamosi wiki hii tarehe 21 Januaari kwamba Maseko ameuawa kwa…
Ubelgiji: Kuzitumia mali za Russia zilizozuiwa kwa ajili ya kuijenga upya Ukraine si halali kisheria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji amesema si halali kisheria kutumia mali za Russia zilizozuiliwa, kwa ajili ya kuijenga upya Ukraine. Nchi za Magharibi hasa Marekani zinajaribu kudhoofisha mfumo wa uchumi wa Russia kwa kushadidisha vikwazo, kuzuia na kupora mali za nchi hiyo kwa kisingizio cha vita vya Ukraine, ambavyo hadi sasa vimekuwa na…