Vyombo vya Habari

Takriban wanawake 50 waliotekwa nyara nchini Burkina Faso wapatikana

Takriban wanawake 50 waliotekwa nyara nchini Burkina Faso wapatikana

Vyombo vya habari vimetangaza kuwa, takriban wanawake 50 waliotekwa nyara hivi majuzi kaskazini mwa Burkina Faso na watu wanaoshukiwa kuwa magaidi, wamepatikana. Shirika la habari la Burkina Faso limeripoti habari hiyo kwa kuandika: “Wanawake waliotekwa nyara na magaidi usiku wa tarehe 12-13 mwezi huu wa Januari 2023 huko Arbinda wamepatikana.” Shirika la Habari la Taifa…

Lavrov: NATO iko vitani na Russia kupitia Ukraine

Lavrov: NATO iko vitani na Russia kupitia Ukraine

Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa muungano wa kijeshi wa NATO uko vitani na nchi hiyo kupitia Ukraine. Ameongeza kuwa: “Kinachotokea Ukraine ni matokeo ya maandalizi ya Marekani ya vita vya mseto dhidi ya Russia.” Ameisitiza kuwa Umoja wa Ulaya umepoteza uhuru wake na sasa uko chini ya satwa ya…

Russia: Kuna ushahidi kwamba Marekani inawafadhili kwa siri magaidi wa Daesh nchini Afghanistan

Russia: Kuna ushahidi kwamba Marekani inawafadhili kwa siri magaidi wa Daesh nchini Afghanistan

Mwanadiplomasia mwandamizi wa Russia na mjumbe wa rais Vladimir Putin nchini Afghanistan anasema kuna ushahidi kuwa Marekani inajaribu kufadhili kwa siri kundi la kigaidi la Daesh nchini humo ili kudhoofisha utawala wa sasa wa kisiasa wa Taliban. Zamir Kabulov alisema siku ya Ijumaa kuwa Washington inataka kulipiza kisasi kwa kushindwa kwake kwa njia ya fedheha…

Taarifa binafsi za watumiaji milioni 37 wa simu za mkononi zimeibwa nchini Marekani

Taarifa binafsi za watumiaji milioni 37 wa simu za mkononi zimeibwa nchini Marekani

Kampuni ya T-Mobile ya Ujerumani imetangaza kuwa, taarifa binafsi za makumi ya mamilioni ya wateja wa kampuni hiyo ziliibwa mwishoni mwa Novemba 2022. Shirika la Habari la Kimataifa la Tasnim limenukuu duru za habari zikiripoti kwamba, wadukuzi wamepata data za wateja wapatao milioni 37 wa T-Mobile, ambayo ni moja ya makampuni makubwa ya simu za…

Balozi: Marekani inashajiisha vitendo vya kigaidi dhidi ya Russia

Balozi: Marekani inashajiisha vitendo vya kigaidi dhidi ya Russia

Balozi wa Russia nchini Marekani ameonya vikali dhidi ya mashambulizi tarajiwa ya Ukraine katika Peninsula ya Crimea na kusisitiza kuwa, Moscow itajibu mapigo baada ya Washington kudokeza kuwa huenda Kiev ikatumia silaha za Magharibi kulishambulia eneo hilo. Akitoa radiamali yake kwa kauli ya hivi karibuni ya Ned Price, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje…

Umoja wa Ulaya washadidisha uingiliaji katika masuala ya ndani ya Iran

Umoja wa Ulaya washadidisha uingiliaji katika masuala ya ndani ya Iran

Katika muendelezo wa uingiliaji wa Umoja wa Ulaya katika masuala ya ndani ya Iran, Bunge la Ulaya linatafakari na kujadili suala la kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika kile kinachoitwa orodha ya mashirika ya kigaidi. Katika kikao cha Bunge la Ulaya siku ya Jumanne wiki hii kuhusiana na machafuko ya…

WHO: Vituo 97 vya huduma za afya na tiba vimesita kufanya kazi nchini Afghanistan

WHO: Vituo 97 vya huduma za afya na tiba vimesita kufanya kazi nchini Afghanistan

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema katika ripoti yake mpya kuwa vituo 97 vya afya na tiba vimesitisha sehemu ya shughuli zao au vimeacha kikamilifu kutoa huduma nchini Afghanistan. Kwa sasa Afghanistan inakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu, kiafya, kiuchumi na ya uhaba mkubwa wa chakula uliosababishwa na kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo kwa miaka…

Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

Israel yashadidisha ukatili wake dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina wawili. Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti habari hiyo na kueleza kuwa, vikosi vya utawala haramu wa Israel mapema leo…