Vyombo vya Habari

Kura ya Alyoum: Biden hatoingia katika kamari hatari ya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran

Kura ya Alyoum: Biden hatoingia katika kamari hatari ya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran

Gazeti la ‘Raei Alyoum’ lilichapisha dokezo na kuandika kwamba ni kweli Washington na Tel Aviv zinaweza kupanga vita dhidi ya Iran; Lakini vita kama hivyo, vikianza, vitasimama tu na mwishowe mchokozi atakua ni mwenye kushindwa, na majibu ya Iran na washirika wake yatakuwa ni yenye uchungu mwingi. Gazeti la ‘Raei Alyoum’, kwa kuchapisha dokezo lililoandikwa…

Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kistratejia katika ngome ya al-Shabaab

Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kistratejia katika ngome ya al-Shabaab

Vikosi vya serikali ya Somalia vimefanikiwa kuukomboa mji wa kistratejia wa Harardhere, moja ya ngome za kundi la kigaidi la al-Shabaab karibu na Bahari Hindi. Taarifa ya Jeshi la Somalia (SNA) imesema, wanajeshi wa nchi hiyo waliuteka mji huo mapema Jumatatu katika mji huo wa Pwani ulioko katika eneo la Mudug, jimbo la Galmudug, yapata kilomita 491 kaskazini mashariki…

Waziri wa Ulinzi Ujerumani ajiuzulu baada ya makosa kadhaa

Waziri wa Ulinzi Ujerumani ajiuzulu baada ya makosa kadhaa

Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Christine Lambrecht amejiuzulu Jumatatu huku wizara aliyokuwa akisimamia ikiwa chini ya mashinikizo ya kuipatia Ukraine silaha hatari. Kujiuzulu kwake kulikuwa hitimisho la mashaka yaliyoongezeka juu ya uwezo wake wa kufufua vikosi vya jeshi la Ujerumani huku vita vikiendelea kati ya Ukraine na Russia. Lambrecht alikuwa amekosolewa kwa miezi kadhaa kutokana…

Ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na Russia unaenda sambamba na makubaliano ya kimkakati

Ushirikiano wa kiuchumi wa Iran na Russia unaenda sambamba na makubaliano ya kimkakati

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran amesema Tehran na Moscow zinaimarisha ushirikiano wao wa kiuchumi kwa mujibu wa makubaliano ya kimkakati kupitia juhudi za mara kwa mara na azma thabiti. Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran aliyasema hayo Jumanne na kuongeza kuwa ni muhimu kwamba…

UNICEF: Wanigeria milioni 25 wako katika hatari kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula 2023

UNICEF: Wanigeria milioni 25 wako katika hatari kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula 2023

Takriban Wanigeria milioni 25 wako katika hatari ya kukabiliwa na njaa kati ya mwezi Juni na Agosti mwaka huu ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa. Hayo ni kwa mujibu wa tathimini ya chakula na lishe iliyofanywa Oktoba 2022 na asasi ya Cadre Harmonisé inayoongozwa na serikali na kuungwa mkono na Umoja wa Mataifa. Tathmini hiyo inayofanyika mara mbili…

Serikali ya India yabomoa msikiti mwingine kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara

Serikali ya India yabomoa msikiti mwingine kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara

Serikali ya India imebomoa msikiti mwingine katika jimbo la Uttar Pradesh kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara. Viongozi wa India wangali wanaendeleza sera zao za kibaguzi dhidi ya Waislamu, na mara hii sera hiyo imeonyeshwa kwenye video ya kubomolewa msikiti katika jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa shirika la habari la…

CNN: Ukraine imegeuzwa “kwa maana halisi” maabara ya kufanyia majaribio silaha za Marekani

CNN: Ukraine imegeuzwa “kwa maana halisi” maabara ya kufanyia majaribio silaha za Marekani

Televisheni ya CNN imetangaza katika ripoti yake kwamba Ukraine imegeuzwa kwa “maana halisi” maabara ya kufanyia majaribio silaha za Marekani. Televisheni hiyo ya Marekani imeeleza katika ripoti yake kuwa, hakuna silaha yoyote ya Magharibi ambayo “kabla ya hapo imetumika katika mapigano kati ya mataifa mawili yaliyoendelea kiviwanda,” kwa maana hiyo Ukraine imegeuzwa kuwa “maabara ya…

Rais wa Vietnam ajiuzulu kutokana na makosa ya maafisa wake

Rais wa Vietnam ajiuzulu kutokana na makosa ya maafisa wake

Rais wa Vietnam ametangaza kujiuzulu kutokana na utepetevu na makosa yaliyofanywa na maafisa aliokuwa akiwasimamia, ikiwa ni chini ya miaka miwili baada ya kuchukua wadhifa huo. Nguyen Xuan Phuc, 68, amewasilisha barua ya kujiuzulu, baada ya chama tawala cha Kikomunisti kumpata na hatia na kumbebesha dhima ya makosa yaliyofanywa na maafisa kadhaa wa serikali yake. Shirika…