Vyombo vya Habari

WHO: Umasikini waongeza vifo vya wanawake wajawazito nchini Uingereza

WHO: Umasikini waongeza vifo vya wanawake wajawazito nchini Uingereza

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, mgogoro wa kupanda gharama za maisha nchini Uingereza unaweza kuzidisha kiwango cha wanawake wanaokufa wakati na baada ya ujauzito. Ripoti iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani inaonya kuwa, hali hiyo inashuhudiwa, huku ukosefu wa usawa wa kiafya ukizidi kuwa mbaya zaidi na kwamba, akina mama wajawazito wanatumbukia katika…

Mkutano wa kimataifa wa jukawaa la kiuchumi wa Davos waanza

Mkutano wa kimataifa wa jukawaa la kiuchumi wa Davos waanza

Mkutano wa kimataifa wa jukwaa la kiuchumi duniani unaofanyika kila mwaka umeanza leo huko Davos nchini Uswisi. Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Oxfam limesema kuwa, makampuni ya chakula yanayotengeneza faida kubwa katika kipindi ambacho kunashuhudiwa ongezeko la mfumko wa bei yanapaswa kutozwa viwango vikubwa vya kodi ili kusaidia kupunguza ukosefu wa usawa duniani. Hilo…

Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Iran yaonyesha vipawa

Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Iran yaonyesha vipawa

Washindani wanaendelea kuonyesha vipaji vyao katika duru ya mwisho ya toleo la 45 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Katika kipindi Ijumaa asubuhi kulikuwa na mashindano ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu nzima. Saeed Aliakbari kutoka Mkoa wa Qazvin alikuwa wa kwanza kujibu maswali ya jopo la waamuzi. Washiriki wengine…

Utawala wa Saudia wamhukumu kifo profesa wa chuo kikuu kwa kuiunga mkono Ikhwanul Muslimin

Utawala wa Saudia wamhukumu kifo profesa wa chuo kikuu kwa kuiunga mkono Ikhwanul Muslimin

Utawala wa Saudi Arabia umemhukumu kifo Profesa maarufu wa Chuo Kikuu kwa kutumia mitandao ya kijamii ya Twitter na WhatsApp kuliunga mkono kundi la Ikhwanul Muslimin na kusambaza habari zinazodaiwa kuwa za uhasama dhidi ya ufalme huo wa Aal Saud unaowakandamiza wapinzani na wanaharakati wa mageuzi nchini humo. Uamuzi huo dhidi ya Awad al-Qarni, Profesa…

Maandamano ya mapema dhidi ya serikali ya Netanyahu; indhari kuhusu vita vya ndani

Maandamano ya mapema dhidi ya serikali ya Netanyahu; indhari kuhusu vita vya ndani

Makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel) wameandamana kulalamikia maamuzi yaliyochukuliwa na serikali ya Benjamin Netanyahu ya kubana mfumo wa mahakama wa utawala huo. Maandamano ambayo yamefanyika karibuni katika miji ya Tel Aviv na Haifa yamewashirikisha watu wengi zaidi ikilinganishwa na yale yaliyofanyika katika miji mingine ya ardhi zinazokaliwa…

Kuwasili nchini Iran kwa ndege za kivita aina ya Sukhoi 35, mapema mwaka ujao

Kuwasili nchini Iran kwa ndege za kivita aina ya Sukhoi 35, mapema mwaka ujao

Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameashiria kuwasili nchini mapema mwaka ujao wa Kiirani unaoanza Machi 21, ndege za kivita aina ya Sukhoi 35. Sukhoi 35 ni moja ya ndege za kivita zenye uwezo mkubwa na hodari zaidi za kizazi cha…

Mripuko mbaya zaidi wa kipindupindu waikumba Malawi, umeshaua watu 750

Mripuko mbaya zaidi wa kipindupindu waikumba Malawi, umeshaua watu 750

Idadi ya vifo katika mripuko mbaya zaidi wa kipindupindu kukwahi kuikumba Malawi katika miongo miwili iliyopita, vimefikia 750. Waziri wa Afya wa Malawi, Khumbize Kandodo Chiponda ametangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, kwa sasa kuna wagonjwa 892 hospitalini, wakati kesi zikiendelea kuripotiwa katika wilaya 27 katika kipindi cha wiki mbili zilizopita. Nchi ya Malawi yenye takriban…

Serikali ya Uingereza imepanga au kufanya mapinduzi katika nchi zaidi ya 27 duniani

Serikali ya Uingereza imepanga au kufanya mapinduzi katika nchi zaidi ya 27 duniani

Kituo kimoja cha utafiti nchini Uingereza kimefichua kuwa tangu vilipomalizika Vita vya Pili vya Dunia, serikali ya nchi hiyo imepanga au kufanya mapinduzi zaidi ya mara 40 katika nchi zaidi ya 27 duniani. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB, kituo cha utafiti cha Uingereza kiitwacho Declassified kimetangaza kuwa…