Vyombo vya Habari

Trump alipendekeza Marekani iishambulie Korea Kaskazini kwa silaha za nyuklia

Trump alipendekeza Marekani iishambulie Korea Kaskazini kwa silaha za nyuklia

Donald Trump alipendekeza wakati wa utawala wake katika mkutano na wasaidizi wake, Marekani iishambulie Korea Kaskazini kwa silaha za nyuklia. Kwa mujibu wa televisheni ya Sky News, mwandishi wa gazeti la New York Times Michael Schmidt ameeleza katika sura mpya ya kitabu chake kiitwacho “Donald Trump dhidi ya Marekani”  (Donald Trump vs The United States) ​​alichokichapisha kwa mara…

Mashirika ya kimataifa yaomba kupatiwa bajeti ili kupambana na utapiamlo kwa watoto

Mashirika ya kimataifa yaomba kupatiwa bajeti ili kupambana na utapiamlo kwa watoto

Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa yametoa taarifa ya pamoja yakiomba kupatiwa hara bajeti ili kuwasaidia watoto milioni 40 wanaosumbuliwa na utapiamlo mkali. Shirika la Kimataifa la  Save the Children hivi karibuni lilitangaza kuwa: Afghanistan, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Haiti, Somalia, Sudan Kusini na Yemen ni nchi ambazo zina…

Uingereza ni nchi ghali zaidi ya Ulaya kuishi

Uingereza ni nchi ghali zaidi ya Ulaya kuishi

Takwimu zinaonyesha kuwa Uingereza ndiyo nchi ghali zaidi yabarani Ulaya kuishi kutokana na matatizo makubwa ya kiuchumi na kifedha yanayoikabili nchi hiyo. Imeelezwa kuwa, ongezeko kubwa la mfumuko wa bei kuwahi kushuhuhudiwa huko Uingreza na ongezeko lisilozuilika la gharama za maisha nchini humo zimeiweka nchi hii katika hali mbaya zaidi ya kiuchumi katika nusu karne iliyopita. Utafiti…

Uturuki: Zaidi ya tani milioni tano za nafaka zimepelekwa kusini mwa Jangwa la Sahara Afrika

Uturuki: Zaidi ya tani milioni tano za nafaka zimepelekwa kusini mwa Jangwa la Sahara Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu ambaye yuko ziarani barani Afrika amesema, kufuatia makubaliano ya utumaji nafaka za Ukraine, yanayojulikana kama “Makubaliano ya Istanbul”, zaidi ya tani milioni tano za nafaka zimefikishwa katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Çavuşoğlu ameyasema hayo Kigali, mji mkuu wa Rwanda jana usiku katika mkutano…

Kushtadi mashinikizo ya Ukraine kwa wapinzani kwa kuwavua uraia wanaoipinga serikali ya Zelenskyy

Kushtadi mashinikizo ya Ukraine kwa wapinzani kwa kuwavua uraia wanaoipinga serikali ya Zelenskyy

Nchi za Magharibi, kinyume na nara na kaulimbiu zao za kizandiki za kutetea utu na ahadi zao za kusimamia kidemokrasia, zimeshakiuka mara nyingi misingi hiyo; na sio tu haziwezi kuwavumilia wapinzani na wakosoaji wao, bali hutumia pia njia mbalimbali kuzima sauti zao au hata kuwamaliza moja kwa moja. Kuhusiana na suala hilo, Rais Volodymyr Zelenskyy…

Katibu Mkuu wa UN: Tunalaani mauaji na hatua zote zisizo halali za Israel dhidi ya Wapalestina

Katibu Mkuu wa UN: Tunalaani mauaji na hatua zote zisizo halali za Israel dhidi ya Wapalestina

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu matokeo hasi na yenye madhara kwa upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB, Antonio Guterres amesisitiza kuwa, hatua za Israel za kupanua vitongoji vya walowezi, kubomoa…

China yataka Afrika iwe na kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

China yataka Afrika iwe na kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ametoa mwito kwa bara la Afrika kupatiwa kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Qin Gang amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo mjini Addis Ababab Ethiopia na Moussa Faki Mahamati, Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika na kusisitiza kwamba, Afrika lazima iwe na…

Watu 4 wauawa katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na al Shabab, kaskazini mwa Kenya

Watu 4 wauawa katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na al Shabab, kaskazini mwa Kenya

Watu wasiopungua wanne wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari lao kukanyaga bomu katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na genge la ukufurishaji la al Shabab, huko Garisa, kaskazini mwa Kenya. Jeshi la Polisi laa Kenya limethibitisha habari hiyo na kusema kuwa, Wahandisi wa Mamlaka ya Taifa ya Barabara za Kenya ni miongoni mwa watu waliouawa…