Vyombo vya Habari

UN: Afrika na Asia Kusini zinaongoza kwa vifo vya watoto

UN: Afrika na Asia Kusini zinaongoza kwa vifo vya watoto

Umoja wa Mataifa umesema eneo la chini ya jangwa la Sahara barani Afrika na kusini mwa bara Asia ndiyo maeneo yanayosajili vifo vingi zaidi vya watoto kutokana na ukosefu wa vituo na taasisi za afya. Ripoti iliyochapishwa jana Jumanne katika tovuti ya Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) inaonesha kuwa, watoto milioni 5…

Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu lafanyika Tanzania

Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu lafanyika Tanzania

Kongamano la siku moja limefanyika nchini Tanzania, likilenga kuimarisha na kukuza umoja katika Umma wa Kiislamu. Hafla hiyo iliyoandaliwa na tawi la Tanzania la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (SAW) na kituo cha kitamaduni cha Iran nchini Tanzania mnamo Januari 6, 2023, ilishirikisha wasomi wa madehehbu za Shia na Sunni kutoka Iran na Tanzania….

Hizbullah yailaani Charlie Hebdo kwa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu

Hizbullah yailaani Charlie Hebdo kwa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu

Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu. Taarifa ya Hizbullah imeitaka serikali ya Ufaransa kuchukua hatua na kuwaadhibu waliohusika na kitendo hicho kiovu cha kuchapisha picha za kuudhi zilizoandamana na maneno na misemo michafu…

Kukamatwa majasusi 13 wa Mossad nchini Iran

Kukamatwa majasusi 13 wa Mossad nchini Iran

Wizara ya Intelijensia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imegundua timu 6 za operesheni za kijasusi za shirika la utawala haramu wa Israel Mossad, na kuwakamata mahasusi 13 wa shirika hilo la kijasusi na kigaidi. Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza kuwa mnomo Disemba 22 ilifanikiwa kugundua timu nne za operesheni za shirika la kijasusi…

Mashambulio ya kikatili ya Marekani yaongezeka nchini Somalia

Mashambulio ya kikatili ya Marekani yaongezeka nchini Somalia

Tovuti moja ya nchini Marekani imetangaza habari ya kuongezeka mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Somalia wakati wa urais wa “Joe Biden” na mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Marekani imekuwa ikifanya kile kinachodaiwa ni oparesheni za anga za eti kupambana na ugaidi nchini Somalia kwa muda mrefu sasa. Africom, komandi…

Vigogo wa upinzani kurejea Tanzania kufuatia tangazo la Rais Samia

Vigogo wa upinzani kurejea Tanzania kufuatia tangazo la Rais Samia

Huku Chama cha Demokrasia ya Maendeleo ‘Chadema’ kikitarajia kuzindua mikutano ya hadhara Januari 21 mwaka huu nchini Tanzania, viongozi wa chama hicho kikuu cha upizani walioko nje ya nchi, Tundu Lissu, Godbless Lema na Ezekia Wenje wanatazamiwa kuwa miongoni mwa washiriki katika mikutano hiyo. Mikutano ya hadhara ya chama hicho inatarajiwa kuanza baada ya Rais…

Umoja wa Mataifa na jitihada za kuondoa vizuizi kwa usafirishaji wa mbolea ya Russia

Umoja wa Mataifa na jitihada za kuondoa vizuizi kwa usafirishaji wa mbolea ya Russia

Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa umoja huo unajaribu kila linalowezekana kuondoa vizuizi vinavyokwamishwa usafirishaji wa mbolea ya Russia. Stephane Dujarric Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuhusu kusafirishwa mbolea ya Russia kufuatia vita vinavyoendelea huko Ukraine kwamba, Katibu Mkuu Antonio Guterres na viongozi wengine wa umoja huo wanaendelea kufanya juhudi ili kuondoa vizuizi…

Ubaguzi washadidisha mgogoro wa ‘afya ya umma’ Marekani

Ubaguzi washadidisha mgogoro wa ‘afya ya umma’ Marekani

Miji na kaunti zaidi ya 200 nchini Marekani zimeutangaza ubaguzi wa rangi nchini humo kama mgogoro wa afya ya umma. Wataalamu wa afya wameonya kuwa, ubaguzi wa kimfumo wa miongo kadhaa umeendelea kuathiri afya za Wamarekani wasio wazungu. Bodi ya Wasimamizi katika kaunti ya Orange jimboni California mwezi uliopita iliutangaza ubaguzi kuwa mgogoro wa afya…