Vyombo vya Habari

BBC kuchunguza matumizi ya mitandao ya kijamii ya wafanyakazi wake baada ya ripota ‘kuunga mkono’ ujumbe dhidi ya Israel

BBC kuchunguza matumizi ya mitandao ya kijamii ya wafanyakazi wake baada ya ripota ‘kuunga mkono’ ujumbe dhidi ya Israel

Shirika la Utangazaji la Serikali ya Uingereza, BBC litachunguza matumizi ya mitandao ya kijamii baada ya mwandishi wake “kuunga mkono” jumbe zinazoilaumu Israel kama utawala wa “mauaji ya kimbari” na kuunga mkono haki ya Wapalestina kupinga uvamizi wa Israel. BBC imesema inashughulikia ukiukaji wa miongozo yake ya mitandao ya kijamii, ambayo inahitaji kutokuwa na msimamo…

Wasiwasi wa Marekani kuhusu kuanzisha tena uhusiano kati ya Iran na Sudan

Wasiwasi wa Marekani kuhusu kuanzisha tena uhusiano kati ya Iran na Sudan

John Godfrey, balozi wa Marekani nchini Sudan, alisema katika taarifa ya uingiliaji kati kwamba ana wasiwasi kwamba kuimarika kwa uhusiano kati ya Iran na Sudan kutapelekea msaada wa kijeshi wa Iran kwa nchi hii. Zaidi ya miezi minne imepita tangu kutangazwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Iran na Sudan. Katika kisa cha hivi punde…

Mwanajeshi wa Marekani ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel mjini Washington

Mwanajeshi wa Marekani ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel mjini Washington

Mwanamume mmoja amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya Ubalozi wa utawala haramu wa Israel huko Washington, DC siku ya Jumapili kulalamikia mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina wa Gaza. Vito Maggiolo, msemaji wa Idara ya Zimamoto Washington DC, amewaambia waandishi wa habari kwamba mtu huyo…

Kuongezeka kwa tofauti kati ya viongozi wa Tel Aviv/ Gantz ashiriki katika maandamano dhidi ya Netanyahu

Kuongezeka kwa tofauti kati ya viongozi wa Tel Aviv/ Gantz ashiriki katika maandamano dhidi ya Netanyahu

Huku mashambulizi yasiyo na tija ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza yakiendelea na kushindwa kufikia malengo yaliyotangazwa hapo awali na utawala huo, ni dhahiri kwamba hitilafu baina ya viongozi wa Tel Aviv zinaendelea kushadidi. Gazeti la Al Jazeera limeripoti kuwa, Benny Gantz, ambaye ni mjumbe wa baraza la mawaziri la vita la…

Sababu na mbinu za ushawishi laini za utawala wa Kizayuni katika bara la Afrika na ukanda wa Afrika Mashariki

Sababu na mbinu za ushawishi laini za utawala wa Kizayuni katika bara la Afrika na ukanda wa Afrika Mashariki

Bara Jeusi ni moja ya maeneo yenye maslahi kwa utawala wa Kizayuni wenye nafasi maalum katika siasa za nje ya utawala huu ghasibu, na utawala wa Kizayuni umefanya jitihada katika kuchukua fursa ya matatizo ya kiuchumi yaliyopo katika bara hili kwa ajili ya kusambaza ushawishi wake ndani ya bara hili chini ya nembo ya misaada…

Tabia inayofanana na ISIS ya wanajeshi wa Israeli katika kuwakamata raia wa kipalestina mjini Gaza

Tabia inayofanana na ISIS ya wanajeshi wa Israeli katika kuwakamata raia wa kipalestina mjini Gaza

Kusambaa kwa picha za kukamatwa kwa umati  wa raia wakipalestina mjini Ghaza na jeshi la utawala wa Kizayuni kumesababisha taathira kubwa katika mitandao ya kijamii na maoni ya wananchi kote duniani. Askari wa utawala wa Kizayuni wamsambaza picha za kukamatwa kwa umati wa watu wa Ghaza waliolala chini huku mikono yao  na macho yao yakiwa…

Mkimbizi wa zamani Abdullahi Mire mwenye asili ya Somalia atwaa tuzo ya UNHCR

Mkimbizi wa zamani Abdullahi Mire mwenye asili ya Somalia atwaa tuzo ya UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR Jumanne limemtangaza Abdullahi Mire mkimbizi wa zamani na mwandishi wa habari ambaye amekuwa kinara wa kupigania haki ya elimu huku akikabidhi vitabu 100,000 mikononi mwa watoto wakimbizi nchini Kenya kuwa ndiye mshindi wa kimataifa wa tuzo ya wakimbizi ya Nansen mwaka huu 2023. Kamishna Mkuu UNHCR Filippo…

Familia za wafungwa wa Kizayuni wakwaruzana na Waziri Mkuu Netanyahu katika kikao cha Knesset

Familia za wafungwa wa Kizayuni wakwaruzana na Waziri Mkuu Netanyahu katika kikao cha Knesset

Familia za mateka wa Kizayuni zilikabiliana vikali na Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni, Itamar Ben Gower kuwa ndio sababu ya kuhatarisha uhuru wa jamaa zao waliokuwa mateka, na kama ishara ya maandamano, waliondoka kwenye kikao cha Bunge la utawala huu. Kwa mujibu wa kanali ya televisheni ya “Rashatodi” pendekezo la “Itamar…